Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


ya nairobi siijui na sijawah kusikia, ila ya china ilipata kibari february... ndo mana waliwah kwenda huko kuchukua abiria kuja bongo mwezi wa tano sijui wasita ule
 
ya nairobi siijui na sijawah kusikia, ila ya china ilipata kibari february... ndo mana waliwah kwenda huko kuchukua abiria kuja bongo mwezi wa tano sijui wasita ule

Ya nairobi kama sio Corona wangeanza kutua June, na hii September ndio ingeanza ya London. Flight za mbali zilizoko tayari ni hiyo ya China na India.
 
project ina miaka 12 leo unatuonesha nn bro ?????😀😀😀😀 cant u be serious plz
 
komora096 kumbe sio madaktari hawalipwi pesa zao pekee mpaka wafanyakazi wa counties wanalia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]




hawa wajinga walijua mikopo ya IMF itawasaidia hata wakiwa lockdown (kusimamisha baadhi ya shughuli).. ona sasa wanaanza kuangaika (na madeni yamepanda maradufu zaid)
 
ATCL haiwezi kwenda Nairobi bila kupokea ndege zake mpya ambazo ni Airbus 2 ambazo ni toleo la kisasa kabisa lenye screen katika kika seat, na kuanza kuanza kwa Safari za China, kabla ya kutimiza hayo, route ya Nairobi haitotengeneza faida.
Mkurugenzi wa Atcl bwana Matindi amesema Leo jmtano akihojiwa na Azam tv kwamba wanategemea safari za Nairobi kuanza December mwaka huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…