Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Poopo! popo! popo! poo! poo!,
wameinama
popo!,
wameinuka,
popo!,
wanaona haya hao x 2

Ninavyoiona hii Magu anaweza kuwafungia vioo mpaka serikali nyingine ya Kenya itakapo kuja, 2023 huko.
Atavifungulia si unajua mzee ye anataka heshima tu... Kwanza dogo maji yamemfika shingoni yule magu atakaonea huruma

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
 
Huyu jamaa Toka aje zile Taarifa za ajabu ajabu sizisikii tena,
 
Ni wakati sasa serikali iwe serious na mpira hasa premier league,wafanye namna viwanja kila mkoa virekebishwe at least kwa pitch viwe na muonekano mzuri hata kwa artificial grass..naamini serikali inaweza.

[emoji106]
 
Tuliwaambia [emoji117]hawa [emoji205][emoji205] watatii tu huu mwaka hadi mabeberu watatii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…