Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimeamua kumwambia hivyo ili aone Dar pabovu na Nairobi pabovu aone kama hawashindi ligi ya maeneo ya hovyo[emoji23][emoji23]
darislum ni 92% ya 1590km^2
Nairobi ni 6% ya 696km^2

who is fooling who?
 
darislum ni 92% ya 1590km^2
Nairobi ni 6% ya 696km^2

who is fooling who?

Fooling me about what?where did you get these percentages from?
Did you understand what I asked?I want you to show the slums in Nairobi coz you said that we're hiding the pictures of our so called 'the real Dar'
 
huo ndiyo ukweli......tuombe uzima tu.....wakenya woote mtalia bakusaga meno
 
Fooling me about what?where did you get these percentages from?
Did you understand what I asked?I want you to show the slums in Nairobi coz you said that we're hiding the pictures of our so called 'the real Dar'
umeelewa lakini??? 92% of you munaishi kwenye izo nyumba za kusengenyana za kiswahili zisizo na dari
 
Endelea kuota ipo proposed na pia keep on dreaming about not having 40 floors at Kawe
tulikuwa kwa Avic mara ukaruka kwa on-going construction kisha sasa uko kwa proposed...... rudi kwenye line.
kuja na source inayosema Kawe City wanajenga 40*4 flrs. kumbuka hatuko kijiweni hapa.... usiniangushe
 
Okay I got no source I was day dreaming
 
Nije na cost wewe mganga?? Unatoka ukaloge?? Okay Tshs 200/= umelizika??
no. kama ww ni mganga basi si kila umuonae ni mganga. hizi project ni nyingi kama vile nilivyokwambia... tunataka kujua how worthy it is.... ivi ndivo si hujadili hapa....
 
One thing forgoten
Strong leadership
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…