Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Magomeni Kota project. Construction of 750 houses+ Commercial building and Offices. By Magufuri. Pia ameahidi atajenga nyumba na majengo yabiashara kwenye wilaya zote za Dar es salaam including Dodoma. Watu waliokuwa wakiishi hapo mwanzo watakaa bure kwa miaka mitano 5 years for free. Nawatanunua hizo nyumba kwa kulipa kwa instalmenta after five years. Thank you Magufuri.
 
We are so good mpaka they have to be singling us out and chase us out in their country jus because we are there to take their top jobs,how many kenyan companies are listed in their DSE?
 
DAR ni city ambayo inakuja fanya mapinduzi na kuwa city bora africa na dunia siku za usoni....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…