Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uyu mzee sio joker for real....
Na anachowachanganya ccm walaji ni kwamba hayo yaliyo kwenye manifesto anayafanya kweli tofauti na kipindi kile unakuta kilichoandikwa kwenye ilani hakifanyiki japo kwa asilimia 30 lkn huyo mzee atahakikisha hyo ilani japo asilimia zaidi ya 80 anaitekeleza na hyo ndiyo tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…