Nyie wajanja route zimewashinda wanapiga waumeMmetutesa maika mingi sana nyie ngedere kutuharibia kwenye media, tumewaamulia sasa msianze kulia lia mliyoyataka mtayapta . tulihisi nyie majirani wema kwa miaka mingi tumekuwa tukiwaangalia tu mnajitanua. Sasa mtakula udongo safari hii hatucheki na nyani.
Hawajiongezi, watu wanaangamia kwa kukosa MAARIFA.
Hili ni shamba la viazi ama?heheh wazee wa GDP [emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]View attachment 1558968