Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Heheheheheeee, angalia Walker255 anavyowainamisha Wakenya kwenye lugha wanayojifanya wanaijua [emoji3][emoji3] maskini weee yn hadi huruma, ona uyu anavyoomba usaidizi kwa kuanza kuwaingiza kwenye ugomvi watu wasiohusika, yn wakenya hawajui kiswahili wala kingereza [emoji3][emoji3][emoji3] Walker endelea kuwafundisha hawa misukule mpk wakuhale km huyu msukule wa kikenya, ona anavyoomba poo daah mpk huruma aisee[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kuna mmoja huko Twitter anatukandia kwann Gari Tunaliita Nyumbu.. anaulizwa ikiitwa Wildebeest!? Anasema afadhali..

Nikaona kweli Hawa ni pipa na mfuniko.. eeempty [emoji16][emoji16][emoji16]. Toka mbwanyenye wamewaambia hizi zinaitwa city square.. Basi ukiwaambia mnazi mmoja wao mpaka wasikie square..ndio wanaridhika..

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 

Ilikuwa noma mkuu.. sema tembo ana sifa sana mzee, sijui kama hajateguka kiuno pale.
 
Mambo mengi muda ni mchache
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…