Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Alafu nahisi hapo Tazara ....BRT 3 watajenga under ground tannel ili kuepuk foleni
Why underground tunnel? there is enough space for another two ways flyover in between the existing one and even if it's not that important High capacity buses can use existing ones and goes back to their lanes there after
 
We mpuuzi ukisikia mtu yule ni maskini mana ake kitu cha kwanza kinamsumbua ni njaa, ukiona mtu anaonekana yupo vzr kiuchumi maana yake kitu cha kwanza hakimsumbui ambacho ni chakula.
Hehehe!!jamani jamani jamani, naona nabii akiteremshwa kuhusu hili[emoji23][emoji23][emoji23]
Sasawa..acha nikubali tu ya kwamba mtu km uchumi wake uko vizuri ina maana ana chakula kingi sana kwake
 
Km vile wa tanzania
 
Unaongelea uchumi mkubwa lazima kuwepo na wawekezaji wa nje na ndani nchi..wala sio ushuzi wa kujengewa majengo mijini na serekali[emoji23]
 
Umewaza kibongo bongo kabisa yani, yani hko kwenu mnatafuta pesa kw ajili ya njaa kali..

Kwhyo wewe unaweza kuwe kinyumba ka ben pol sio
[emoji23][emoji23][emoji23]we haujielewi.......

huo ndiyo ukweli halisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…