Wee Edward ni mwalimu wa skuli ya namna gani usiyejua hata historia ya Afrika?Iko Europe!? Dewji (Mo) ni muhindi and he owns Tanzania!!!!
Wee Edward ni mwalimu wa skuli ya namna gani usiyejua hata historia ya Afrika?
Tanzania ni nchi yenye raia wa rangi mbalimbali, weusi, wazungu, washirazi, wahindi, wasonjo etc.
Huyo MO unaye mzungumzia hajui nchi nyingine zaidi ya Tanzania. Ancestors wake walikuja kabla hata nchi yetu haijaitwa Tanzania, enzi hizo za Tangayika na Zanzibar.
FYI chama tawala Tanzania kilitokana na muungano wa vyama viwili, TANU na Afro-Shirazi Party (ASP).umeshawahi kujiuliza kwanini Ma-Afro na Ma-Shirazi waliamua kukaa pamoja na kuunda chama cha ASP ili kudai uhuru wa nchi toka kwa Mkoloni Mwarabu huko Zanzibar?
Na baadaye wakaungana na TANU ya bara ili kuunda CCM?
Siku nyingine usiropoke tena juu mambo usiyojua vizuri.
wamemezeshwa maji maji war tu[emoji23][emoji23][emoji23]Mambo mengi hawayajui. Na wameoshwa ubongo Kuhusu Bongo.
Cha kushangaza hiyo maji maji war wamemezeshwa upande mmoja tu [emoji23][emoji23][emoji23]wamemezeshwa maji maji war tu[emoji23][emoji23][emoji23]
your best neighbor, our best customer ๐๐๐Congrats Our best Neighbours
ndiyo hivyo yaani wakenya wako zero kihistorical yaani hakuna wanachokijua zaidi ya maji maji na mau mau[emoji23][emoji23]Cha kushangaza hiyo maji maji war wamemezeshwa upande mmoja tu [emoji23][emoji23][emoji23]
ndiyo hivyo yaani wakenya wako zero kihistorical yaani hakuna wanachokijua zaidi ya maji maji na mau mau[emoji23][emoji23]
Kwenye ukombozi wa nchi za Africa kipindi cha ukoloni Tanzania ilikuwa msitari wa mbele kusaidia nchi zingine kupata uhuru wakati kenya ilikuwa msitari wa mbele kushirikiana na wakoloni kukandamiza nchi za Africa na hiki kitu hawajafundishwa kwenye somo la historia na wakenya wengi hawajui hii kitu.ndiyo hivyo yaani wakenya wako zero kihistorical yaani hakuna wanachokijua zaidi ya maji maji na mau mau[emoji23][emoji23]
Na wewe hujui kwamba Kenya pia ina raia wa rangi tofauti!? Ama hilo wa hujui!?Wee Edward ni mwalimu wa skuli ya namna gani usiyejua hata historia ya Afrika?
Tanzania ni nchi yenye raia wa rangi mbalimbali, weusi, wazungu, washirazi, wahindi, wasonjo etc.
Huyo MO unaye mzungumzia hajui nchi nyingine zaidi ya Tanzania. Ancestors wake walikuja kabla hata nchi yetu haijaitwa Tanzania, enzi hizo za Tangayika na Zanzibar.
FYI chama tawala Tanzania kilitokana na muungano wa vyama viwili, TANU na Afro-Shirazi Party (ASP).umeshawahi kujiuliza kwanini Ma-Afro na Ma-Shirazi waliamua kukaa pamoja na kuunda chama cha ASP ili kudai uhuru wa nchi toka kwa Mkoloni Mwarabu huko Zanzibar?
Na baadaye wakaungana na TANU ya bara ili kuunda CCM?
Siku nyingine usiropoke tena juu mambo usiyojua vizuri.
sindano imefika mahala pake ๐๐๐๐Naona tu uswazi tu,haha,middle income houses, kama tu improved kibera,really you guys are far behind,bado mko 20th century
so umepanic ๐๐๐๐Napenda Hii
View attachment 1538734
wanjala acha kututhibitishia kua ww usomi wako umeishia kula vumbi la chaki ya mwalimu๐๐๐Na wewe hujui kwamba Kenya pia ina raia wa rangi tofauti!? Ama hilo wa hujui!?