Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Lete ya dar jamani tuone vichochoro mjini kati[emoji23][emoji23]
tafuta video ya ray vanny........utayaona mazingira ya uswahilini ...

ila jiji lenu lipo normal sana na linatia haibu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
tafuta video ya ray vanny........utayaona mazingira ya uswahilini ...

ila jiji lenu lipo normal sana na linatia haibu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Cbd iko wapi jamani[emoji23][emoji23]
Au unafikiria hatuijui, kuna kitu mnaficha kule
 
What pill?? Hiyo kiingereza yako ama?
Facts always will stand still, That kunyans will never succed to redicule Dar es salaam in anyway simply means it has what it take to be recognized and respected as the hub of East Africa compared to that trush thing
The only thing i see from kunyans is shenanigans
 
The shriving economy where real estate development was hot iliondoka na JK saizi the whole country and private sector iko hoi na kiukweli majengo mengi yaliyojengwa na serikali hata watu binafsi pale posta na kwingineko yako empty maana micro activities zimesinyaa sanachini ya huyu mjamaa
Ndio maana unaweza ona hata pension funds zimeshindwa kumalizima majengo yao kama mzizima,dego estate,nhc imepotea kabisa wala huwezi isikia tena kwenye miradi yao ya kinondoni,arusha nk nk kiufupi hali ni mbaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…