"Once you replace negative thoughts with positive one's, you'll start having positive results"
Say hi to your pillow...
[emoji3][emoji3][emoji3]Hipo hapa[emoji116]
K= Kenya
Q= quarantine
Hipo hapa[emoji116]
K= Kenya
Q= quarantine
Hii mbona kaliWamekaa kimya wanadhani hatujui.
Heeyyy!!!!! lingine hilo limeanguka juzi j3[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ndege ya Jeshi la Kenya yaanguka Somalia, Habari Tatanishi ZaibukaView attachment 1527558
Hii imekaa sawa sana.Jana nilikuwa na soma gazeti la Uhuru ....Kamwelwe aliwapa interview nilipenda msimamo wake........ anasemaje...” notes ya shirika la anga bado haija futwa” ....aliendelea sema ....”ni kweli nilipokea simu kutuka kwa waziri wa mambo ya usafiri wa kenya lakini haikuwa mawasliona rasimi ya kiofisi”......ali hitimisha ....”tunawasubir walete taarifa rasimi ya kiofisi ....na tuta wakumbusha wao ndio walikuwa wa kwanza kuvunja makubaliano ya kwanza tulio fikia awali kwa madreva wa malori.........na kisha ndio taratibu za kufuta notes ya kutokutua kwa KQ zitaanza fatwa ili notes ifutwe”....
[emoji23][emoji23][emoji23]Hipo hapa[emoji116]
K= Kenya
Q= quarantine
Huku Sisi tukipiga dolari, Hawa 🦍🦍wako busy na upuuzi wao.Hii ni Jana KLM ktk Uwanja wa Kimataifa Kilimanjaro. Mwanza jengo likikamilika hawa jamaa wataomba poo
View attachment 1527530View attachment 1527531View attachment 1527532
I agree with you
Maneno ya mkosaji hayoInakaa zizi la ng'ombe [emoji23] [emoji23]
Maneno ya mkosaji hayoInakaa zizi la ng'ombe [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Don't be shame welcome tu sant kayumba primary skuli
Hahaa!!mnasifia vya mabeberu tu, haki sijui nani kawaroga nyieWapi KQ?
Is it ok to ignore a nacissist[emoji848]@komora096 bora nikutumie DVD muvi za dj rufufu zilizo tafsiriwa kwa kiswahili ujiunge na timu yetu ya san kayumba primary skuli mbona timu yetu inafanya vizuri hapa afrika siunaona kiongozi wetu ni magufuli yupo juu kuliko wasomi wa sant slave da Cruz primary skuli, tazama huyo raisi wenu msomi wa sant slave mvuta bange ikulu