Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Jana nilikuwa na soma gazeti la Uhuru ....Kamwelwe aliwapa interview nilipenda msimamo wake........ anasemaje...” notes ya shirika la anga bado haija futwa” ....aliendelea sema ....”ni kweli nilipokea simu kutuka kwa waziri wa mambo ya usafiri wa kenya lakini haikuwa mawasliona rasimi ya kiofisi”......ali hitimisha ....”tunawasubir walete taarifa rasimi ya kiofisi ....na tuta wakumbusha wao ndio walikuwa wa kwanza kuvunja makubaliano ya kwanza tulio fikia awali kwa madreva wa malori.........na kisha ndio taratibu za kufuta notes ya kutokutua kwa KQ zitaanza fatwa ili notes ifutwe”....
 
Kali iyooo[emoji91][emoji91]
 
Duh hata mimi hilo yai limenishangaza kidogo,eti hawa ndo watu wanaojisifu kuwa wanajua English kuliko mtz!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
@komora096 bora nikutumie DVD muvi za dj rufufu zilizo tafsiriwa kwa kiswahili ujiunge na timu yetu ya san kayumba primary skuli mbona timu yetu inafanya vizuri hapa afrika siunaona kiongozi wetu ni magufuli yupo juu kuliko wasomi wa sant slave da Cruz primary skuli, tazama huyo raisi wenu msomi wa sant slave mvuta bange ikulu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…