Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizi picha zina tatizo gani?? Kwanza ni za mwaka gani kwasababu hiyo picha ya chini hakuna hata PSPF towers. Kwa hiyo ilipigwa kabla hata ya mwaka 2013. You are pathetic!
Hapajabadilika hata Sasa.
 
Tunajua vyema hata Nairobi kuna wauza mbogamboga CBD wacha kujisahau
hio si ukweli..may be unamaanisha uko nairobi downtown ndio wamo na pia watatolewa and relocated to another place along a road called kangundo road in a market called wakulima market due to construction of nairobi rail fly over
here are some of the photos and videos of nairobi cbd...ukiona mama mboga apo unionyeshe




 
Mnajitahidi kusafisha uso msisahau slums zenu wale watu nao wanahitaji decent houses ,Ulitaka kuwaona mama mboga subiri utawaona
 
Picha umepiga holiday au weekend.umetoa mpaka wafanyakai wa ofisi za hapo cbd[emoji23][emoji23][emoji23]

Mpaka magari umeondoa.
 
Hii mitaa IPO wazi kwa sababu za lockdown.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…