Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hogwash,hakuna professional according to you,zingekua zimejaa kusingekua na boom ya majengo mengine...mkizidiwa mue mnakubali yaishe
 
Hogwash,hakuna professional according to you,zingekua zimejaa kusingekua na boom ya majengo mengine...mkizidiwa mue mnakubali yaishe
 
Kenyans typically
 
kumbe nabishana na zero brain......

aliyekuambia intem kwa Tshs ni nani...?..

huu mchezo unapimwa kwa dollar mzee, si kwa Kshs wala Tshs... tumewapiga KO tena tumewadouble mara 3
 
hahahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]




View attachment 1522832

hiv mmegundua US inawekeza sana kitu kama ‘NEO Colonialism’ sana kenya baada ya US kuona China inatoa sana mikopo mikubwa kenya?
yan US wanakuwa wana maamuiz mengi sana kenya ili China asijichukulie usukan??
 
kindly be patient naona uko na mambo mengi..am gathering photos za slums za dar es salaam by tonight i will post them here..si mlisema dar hakuna slums? nitapost hapa ..from kigogo,tandale.mazense,buguruni sikita..buguruni kwa mnyamani
Nasubir uwekee.....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…