kumbe bandari ya mombasa 80% inamilikiwa na watu binafsi wakiwemo wataliano aise mpaka nimeshtuka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
Nionyeshe nyumba hapo ni log off jf, unafikiria hata ukijitoa ufahamu ndio nitashtuka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unamdangany nani ? Ww upperhill ni slum tena hapoo kwailo jengo ...wadangany wajinga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji382][emoji382][emoji382]View attachment 1517669View attachment 1517670
Lete mtaa ambao unaweza ushindanisha na upper hill bongo[emoji23][emoji23]
Miundo mbinu
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Daah,Kunyaland inanuka haja kubwa ya mbwa,,,,,,hawa watu wa mombasa wana uchungu sana kuwa sehemu ya hyo Jamuhuri ya mafisadi,,iko siku watarudi nyumbani..Inshallahkumbe bandari ya mombasa 80% inamilikiwa na watu binafsi wakiwemo wataliano aise mpaka nimeshtuka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
Lete mtaa ambao unaweza ushindanisha na upper hill bongo[emoji23][emoji23]
Miundo mbinu
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Wakiendelea na huo uchafu wao iko siku Mombasa itajitenga na wataomba kuniunga Tz,ndiyo iko hivyo mkuu,,,,,kumbe ulikuwa haufahamu ..
hiyo ndiyo kenya bhana
anauza maji yani nairobi maji ni adimu kama dhahabu😂😂😂Huyu jamaa mwenye mkokoteni anaunza maji au mzoa Taka.[emoji23] kweli CBD ya Middle income ipo juu.
View attachment 1517720
Lete kariakoo, ilala, upanga ndio tuone streets zake zinakaaje..Tutawezaje shindanisha na hizo spider webs. Sisi tuna style yetu . Mjini kuna Sidewalks za uhakika , pana kama Lane ya gari . Kuna road marking, na signs Muhimu.
Imagine hii ni Magomeni.
View attachment 1517724
Uozo mtupu walai[emoji23][emoji23][emoji23]Angalia Hii Video mwishoni mwishoni hiyo ndio Kariakoo linganisha na chaos huko kwenu .
Lete video buda..mbna unakimbiaKwenye hiyo Location ya Upper Hill yenye majengo marefu. Na mnadai ni New CBD lakini chini ni majanga .Palitakiwa paonekane mtaa wa maana hadi kwenye barabara zingereflect . Lakini Kama kawa Private Developer kafanya yake , Serikali kila kitu imeachia Mungu, Bora uhai.[emoji23]
View attachment 1517718
Naona unaumia kuwa na slums [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji382][emoji382][emoji382]izo apo mbele nimaslum za kulala[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji382]Nionyeshe nyumba hapo ni log off jf, unafikiria hata ukijitoa ufahamu ndio nitashtuka
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
We hko kupayuka kote unafikiria unaweza afford ardhi upper hill
Hahahah slums tuuu wanauziwa maji ya madum alafu wanaita ni best of nothing[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyu jamaa mwenye mkokoteni anaunza maji au mzoa Taka.[emoji23] kweli CBD ya Middle income ipo juu.
View attachment 1517720
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]Naona unaumia kuwa na slums [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji382][emoji382][emoji382]izo apo mbele nimaslum za kulala[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji382]View attachment 1517743
Upper hill ndio mlinganishe na vile vijiji vyenu uchwara kwa miundombinu jamani
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Hatuna haja ya kuwa na pressure na hawa tusha wangalia mpka chumbani ni uchafu mtupu wala hatupati shidaa nao...acha thread iendele tu kama utani [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji16]Tutawezaje shindanisha na hizo spider webs. Sisi tuna style yetu . Mjini kuna Sidewalks za uhakika , pana kama Lane ya gari . Kuna road marking, na signs Muhimu.
Imagine hii ni Magomeni.
View attachment 1517724