Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]

when did a clique of guys mean white guys. ......if you are high on your castle beer take a nap and engage tomorrow
 
One person from Nairobi told me that this is one of the biggest hospital in Kibera. Am trying to find the truth. Tumebishana mpaka nimechomoka. Nilimwambia haiwezekani.View attachment 524093

Ulizia hawa wachawi wenzenu wa danganyika


One person from Nairobi told me that this is one of the biggest hospital in Kibera. Am trying to find the truth. Tumebishana mpaka nimechomoka. /QUOTE]

Uliza hawa wachawi wenzako wa Tanzania taifa la 'naomba'



 
Kiluwa Steel Group Ltd. Nikiwanda kinachomilikiwa na Mtanzania kwakushilikiana na wachina. Nikiwanda kikubwa East and Central Africa. Kinaurefu wa 1 kilometer na railway system ndani ya kiwanda yenye urefu wa1.2 kilometer. Kiwanda kinatengeneza nondo na vifaa vingine vya chuma pia kinatumia coal katika kuzalisha umeme wake. Kinaongoza Africa mashariki na kati. Hakuna kenya. Magufuri hoyee .
 
Good will Ceramic and Tiles Ltd. Kiwanda kikubwa East and Central Africa chakutengeneza vigae. Pia hiki kiwanda kinaurefu wa 1 kilometer nabado kinapanuliwa zaidi. Kinazidi mkubwa viwanda vyote vya Twyford na ndosababu kuu ya Twyford kuja kufungua nae kiwanda Tanzania. Magufuri hakuweza kumaliza kutembea kwenye kiwanda kutokana na urefu wakiwanda kuwa kikubwa kipindi anakizindua. Kiwanda kinazalisha umeme wake kwa kutumia gesi. Pia kitatengeneza 2000 direct employment na 3000 indirect employment. Hakuna hii kitu Kenya. Magufuri hoyee
 
Good will Ceramic and Tiles Ltd. Kiwanda kikubwa East and Central Africa chakutengeneza vigae. Pia hiki kiwanda kinaurefu wa 1 kilometer nabado kinapanuliwa zaidi. Kinazidi ukubwa viwanda vyote vya Twyford na ndosababu kuu ya Twyford kuja kufungua nae kiwanda Tanzania. Magufuri hakuweza kumaliza kutembea kwenye kiwanda kutokana na urefu wakiwanda kuwa kikubwa kipindi anakizindua. Kiwanda kinazalisha umeme wake kwa kutumia gesi. Pia kitatengeneza 2000 direct employment na 3000 indirect employment. Hakuna hii kitu Kenya. Magufuri hoyee
 
Tooku Garments ltd nikiwanda changuo kipya nchini Tanzania na hadi sasa wanaviwanda viwili katika EPZ yahapa Dar es salaam. Wamesema watajenga viwanda vingine kumi 10 nchini kote. Lakini pia kunawawekezaji wawili wanataka kuwekeza viwanda vikubwa zaidi barani Africa Mwanza na Mtwara hapa nchini ambavyo vitatengeneza ajira ya watu 16,000 . Kiwanda cha Tooku kimetengeneza zaidi ya ajira 6000
 
Kenya wameshindwa kuwa na kiwanda chakutengeneza nguo walau T-shirt. Hadi T shirt wanaagiza China . Angalieni aibu kwa Uhuru. Sijui wakenya wangapi watabaki uchi siku China ikifunga viwanda vya nguo.
 
Tanzania Tanga. A $1.3 billion SINOMA cement factory in Tanga. To be the largest cement factory in East and Central Africa. Larger than Dangote cement factory.To employ more than 4000 people and will produce 7 million tonnes a year. 30% for domestic use and 70% for export. They will also construct a industrial park. The factory cement will also be used in the construction of the Chinese silk road. Nawamesha anzakuleta vifaa. Ujenzi unaanza mweziujao. Thank you Magufuri
 
recent pictures of mathare,the surrounding speaks for itself.









Na haya ndio matunda ya Ubepari,
50% ya pato la taifa la Kenya hutafunwa na 2% Kenyans ( obviously Elite Gikuyus and Kalenjins)
98% consumes the remaining 50%
Ubepari ni Ushetani.
 
Dar es salaam. State of the art automatic road sweepers trucks. Nairobi it will take years to have oneView attachment 524048
View attachment 524053View attachment 524054View attachment 524053View attachment 524054
Yaaani watanzania ushamba hadi lini?? hauna aibu kuweka these trucks hapa! ndio munaziona kwa mara ya kwanza Tanzania!! guys hii thread has proved Tanzania kweli ilikua imelala na nyuma, we passed those long ago, had and even vandalized some! ile wakati ya manispaa(municipalities), now we are in county governments, maendeleo kila eneo, we have finished 5 years now na mabadiliko kila upande kenya umeonekana, miaka ingine tano tutakua wapi? nyinyi mabadiliko kubwa ni Dar pekee!! kwingineko ipo lakini duni!
 
angalia epz kenya, kisha linganisha! stop being a blind patriot kama Annael na kakake Ichoboy01, wakiona kitu kizuri tz wanaamini ndio sasa! tumewapiku kenya.., hii thread has exposed to me Tanzania ya sasa, mnashangazwa na maendeleo chache, zingine tulifanya kitambo, na kutegemea mtandao!! tembeeni mjionee wenyewe!!
 
One person from Nairobi told me that this is one of the biggest hospital in Kibera. Am trying to find the truth. Tumebishana mpaka nimechomoka. Nilimwambia haiwezekani.View attachment 524093
Guys, Tanzania hususan Dar imeshinda hata Johannesburg! nani hapa ameziona slums za SA? nyumba ya mabox, mbao na mabati! pathetic! kwa huwo ukweli ya slums SA, workers strikes kwa ajili ya mishara, hii yote haipo Tanzania, wako mbele and developed than Kenya and SA, even more than Philipines with worse slums za flying toilets! hongera Tanzania., I mean Dar., akili yenyu hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…