Sasa wataonesha nini wakati mkono mtupu haulambwi?hizi picha zimepostiwa zaidi ya mara kumi, na ndo mradi mkubwa kenya... ni sawasawa sisi tunapost ya kimara-kibaha ambayo hatuipost sana .. tanzania tunapost miradi mingi ila kenya iko busy na nairobi expressway tu[emoji23]
Pia hapa Nairobi tuna miradi kadhaa na htupost kama:hizi picha zimepostiwa zaidi ya mara kumi, na ndo mradi mkubwa kenya... ni sawasawa sisi tunapost ya kimara-kibaha ambayo hatuipost sana .. tanzania tunapost miradi mingi ila kenya iko busy na nairobi expressway tu[emoji23]
TZ health care in shadow kwa Kenya 😂
😂😂😂pole kwa wivu, we si IMF, Kenya iko ligi yake, nyi bado sanaKenya GDP ni chini ya $76bil don't trust IMF,
Na GDP ya Kenya inakwenda kushuka course of covid
😂 😂 denial stage hii,mwishowe kujitia kitanziHiyo $92bil uenda ndiyo tupo nayo sasa tatizo mabeberu wanafiki wanapenda kutu underestimate ila huu mwaka wameanza kuumbuka wakaona waipandishe tz kuwa MIC ghafla bini vuu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] c ndo sehemu ya kujificha hyo mana dozi tunazotoa humu c mchezo.hizi picha zimepostiwa zaidi ya mara kumi, na ndo mradi mkubwa kenya... ni sawasawa sisi tunapost ya kimara-kibaha ambayo hatuipost sana .. tanzania tunapost miradi mingi ila kenya iko busy na nairobi expressway tu[emoji23]
Wakenya kwenye hiyo tweet wanapinga hizo takwimu,TZ health care in shadow kwa Kenya [emoji23]
Amka amka ucje ukajinyea ndoto mby hyo[emoji3][emoji3][emoji3]Pia hapa Nairobi tuna miradi kadhaa na htupost kama:
#Western bypass
#Ngong road expansion
#Rironi- limuru superhighway
#commuter trains
#several overpass and interchanges underway
#Railway city
#BRT
Huwa nasema humu facts nyng ni za kutengeneza, ukweli ni kwamba kenya haiwezi zd Tz kwenye sekta ya afya, kitu pekee ambacho kenya imezd Tz ni uwakala tu ambao kwa asilimia kubwa unafanywa na wazungu lkn ukweli upo around the corner na itabainika tu, tupo vzr sn kwenye afya hilo halina ubishi na hata Wakenya wanalijua hilo ni suala la ku update tu data zao na cna shaka na hilo.Wakenya kwenye hiyo tweet wanapinga hizo takwimu,
Ndio zile zisizoendana na hali halisi.
Sisi wakenya twapenda siasa lakini tuko sawa ingawa si ile level inastahiki,still have long way to go so we can't keep quietWakenya kwenye hiyo tweet wanapinga hizo takwimu,
Ndio zile zisizoendana na hali halisi.
😂 😂 sasa hii site ya fact imekuwa ya uongo kwa vile Kenya inaichapa TZ,ingelikuwa mko juu yetu mgesema ni ya ukweli,kwendeni huko,hahahaHuwa nasema humu facts nyng ni za kutengeneza, ukweli ni kwamba kenya haiwezi zd Tz kwenye sekta ya afya, kitu pekee ambacho kenya imezd Tz ni uwakala tu ambao kwa asilimia kubwa unafanywa na wazungu lkn ukweli upo around the corner na itabainika tu, tupo vzr sn kwenye afya hilo halina ubishi na hata Wakenya wanalijua hilo ni suala la ku update tu data zao na cna shaka na hilo.
Kenya haiwezi mziki wa Tz ya ss kwenye sekta ya afya kubali kataa, kwnz the most modern health facilities kwa huu ukanda zinapatikana Tz.Sisi wakenya twapenda siasa lakini tuko sawa ingawa si ile level inastahiki,still have long way to go so we can't keep quiet
Hizo ndio zile takwimu zisizo endana na hali halisi yaani mambo kwa ground ni different,Huwa nasema humu facts nyng ni za kutengeneza, ukweli ni kwamba kenya haiwezi zd Tz kwenye sekta ya afya, kitu pekee ambacho kenya imezd Tz ni uwakala tu ambao kwa asilimia kubwa unafanywa na wazungu lkn ukweli upo around the corner na itabainika tu, tupo vzr sn kwenye afya hilo halina ubishi na hata Wakenya wanalijua hilo ni suala la ku update tu data zao na cna shaka na hilo.
Hao wakenya wanaopinga hizo data wameandika ukweli kabisa wala hawajadanganya,Sisi wakenya twapenda siasa lakini tuko sawa ingawa si ile level inastahiki,still have long way to go so we can't keep quiet
Ndo mana WaTz hatuna mpango na takwimu zao cc tupo bize na nchi yetu hayo matakwimu yao wabaki nayo wenyewe, tunajenga reli ya umeme wakipenda waandike kenya ndiyo ya kwanza kutumia treni ya umeme, tunajenga hospitals with modern facilities wakipenda waandike Rwanda iko juu ya Tz kwenye sekta ya afya, tunawasha taa vijiji vyote Tz wakipenda waandike Uganda wako vzr kwenye electricity in EA, tunaunganisha mikoa kwa road safi zenye viwango lkn wacha waandike nchi wanazopenda wao ndiyo zenye barabara nzuri but mwisho wa siku aibu itawakumba watakuwa hawana namna [emoji3][emoji3][emoji3]Hizo ndio zile takwimu zisizo endana na hali halisi yaani mambo kwa ground ni different,
Wanyarwanda kibao hufata matibabu bora Mwanza halafu kwenye hiyo list imewekwa bora kuliko Tz,
Wakenya kibao pia hufata matibabu Tz.
Raha ya takwimu iendane na hali halisi,Ndo mana WaTz hatuna mpango na takwimu zao cc tupo bize na nchi yetu hayo matakwimu yao wabaki nayo wenyewe, tunajenga reli ya umeme wakipenda waandike kenya ndiyo ya kwanza kutumia treni ya umeme, tunajenga hospitals with modern facilities wakipenda waandike Rwanda iko juu ya Tz kwenye sekta ya afya, tunawasha taa vijiji vyote Tz wakipenda waandike Uganda wako vzr kwenye electricity in EA, tunaunganisha mikoa kwa road safi zenye viwango lkn wacha waandike nchi wanazopenda wao ndiyo zenye barabara nzuri but mwisho wa siku aibu itawakumba watakuwa hawana namna [emoji3][emoji3][emoji3]