Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Acha kutuletea upupu ww....huuu ujinga kadangany nyanya yako...PPF TOWER IKO WAP...?
 
Mwenye anataka kujua information kuhusu majengo yote ya Tanzania ama kenya fuatilizieni hili link hapa EMPORIS . So far nairobi has 230 buildings na dar 104 nairobi imeshinda dar mara mbili kwa mijengo. Kwa ujenzi nairobi imelaza dar hands down
Huu upupu kambie wenzio.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116]...hiii tu jasho View attachment 1512275
 
Nimetazama hii video ya Nairobi na ni wazi kuwa Nairobi iko ligi yake. Dar haiwezi shindana na Nairobi kwenye tourist sites, skyscrappers na infrastructure.


WOW! Nairobi is "MASSIVE"!!
That Fire LA•3.4K views•5 hours ago
Huyu jamaa mlimpeleka mpaka Kibera?
 
Nimetazama hii video ya Nairobi na ni wazi kuwa Nairobi iko ligi yake. Dar haiwezi shindana na Nairobi kwenye tourist sites, skyscrappers na infrastructure.


WOW! Nairobi is "MASSIVE"!!
That Fire LA•3.4K views•5 hours ago
Mkuu una uhakika hutafuti viewers YouTube?
 
Naona maskini tunaforce kubishana utopolo, kusifia mijengo mirefu isiyokua ata na faida wakati kuna mipori hatujui ata tuifanyie nini. Hivi pesa ya kujenga iyo migorofa si ingeborosha social service au kuwekezwa kwenye viwanda vijana wetu wapate ajira za kueleweka.
 
Mimi nina mhusudu sana Bwana Makonda, ila mimi sijui kwa nini aliamua kutokumsaidia Rais hyo kazi aliyokuwa amepangiwa....anyway mimi ninamuombea apate nafasi tena.[emoji58]
Draft lake alilipnga....nahisi lengo lake cyo kuwa mkuu wa mkoa tena, wala mbunge...ile maswala wakina Jafo wanampiga mkwara...alitaka kupnda zaid either naibu waziri au wazir lkn alijua fika asinge fika huko bila kuachia Uku wa mkoa.....just my opinion
 
Hilo pori limewachwa hapo kimakusudi ili kuboresha mazingira ya Nairobi. Mtu akipatikana akikata miti anafungwa gerezani. Sisi tunajali mambo ya mazingira sio kama nyinyi mnakata miti hovyo halafu mnatukejeli kwa kukuza miti. Halafu nyie mkishafahamu kuwa mna majengo mbilikimo huwa mnaanza kulialia, mnaanza kusema eti hatuna social services. Tumewazoea
 
Acha kutuletea upupu ww....huuu ujinga kadangany nyanya yako...PPF TOWER IKO WAP...?
Boss una macho kweli ...hujaiona ppf tower apo? Wewe , ppf iko apo namba nane...https://www.emporis.com/city/100151/dar-es-salaam-tanzania/status/all-buildings
 
Huu upupu kambie wenzio....
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116]...hiii tu jasho View attachment 1512275
Najua unahisi uchungu. ..ndio maana umejaribu na matusi. .hapa hakuna kutusiana tunaambiana ukweli na ukweli waga inauma sana. .how can you compare a city by just a mere photo? without supporting data. .photo that you can easily edit and photoshop. Mimi nataka tangible results. .kama dar ni nzuri kuliko nai then toa facts and data. Nimekutumia data ukashtuka
 
Alikuwa anaogopwa na Mabosi wake !
 
Nilikuambi acha kutumia upupu ww ivi hata nikikuambia niletee density kama hii hapo nirobary utaweza...?na ni K/koo tu...mm siwezi amin iyo mtandao yako thidi ya world bank ...sababu hata fact ziko clear...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]
 
Boss una macho kweli ...hujaiona ppf tower apo? Wewe umechizi. ..umekula ugoro nini. ..ppf iko apo namba nane...https://www.emporis.com/city/100151/dar-es-salaam-tanzania/status/all-buildings
Km hii list inaukwe embu niambie hapa chini unaona gorofa ngap?....huyo alikusanya kile ameweza akaenda cyo number y gorofa zote DSM never[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1512443
 
Alikuwa anaogopwa na Mabosi wake !
Kwasabab alionekana yupo karibu sana n mzee, ila ukwel ni kwamba mzee huwa hatabiriki kabisa...kuna kipindi nilion Jafo wa tamisem akiwap wiki mbili wakae wazungumzie mgogoro wa soko jipya linalojengwa kisutu kuunganishwa na airbridge mpaka kituo cha BRT....lkn binafsi siamini kuwa lengo lake niubunge tu...au pengine alikuw anamkimbia mzee alion a kazi kubwa kila wakati cm hazikati akatak kukimbia ..mana jamaa anatak kazi ifanyik kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…