Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizi mambo tumekuwa tukiziongea humu mara kwa mara kwamba kenya hawana ardhi ya kuwafanya waongoze kwa kuuza mazao nje ya nchi, zaidi ni uwakala ndiyo ulikuwa ukiwapa jeuri lkn pia na uongozi wa hovyo tuliokuwa nao huko nyuma, ss watakula jeuri yao maamaeee report kamili subirini 2023 ndo wataelewa mchezo [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]

Sababu ndege za Tanzania kupeleka mazao ya bustani nje
 
Na ni wachonganishi sana. Unakuta anakuchekea kumbe anakupiga chini chini.
Yaah hivihivi yaan. Mi mwenyewe kuna mkenya mmoja kanichonganisha na wadada wa Tz kwa kuongea maneno ya uongo kabisa ili ajipendekeze tu.... nilimpa makavu sio kitoto, na hao mashori wakiTz nikawapa shit waache ushamba kubabaika na wakora wa kiKenya...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…