Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ebu nitumie link ya 84b USD kwanza yani Tshs mnaconfuse na USD
😀😀😀😀😀 inakunyima usingizi kabisa
Kua mpole nikueleweshe...
magufuli aliunda kamati mbili kuchunguza makontena ya madini 270 yaliokamatwa bandarini....
Kamati zikaonesha hasara nchi iliopata kupitiwa kampuni za madini za kukwepa kodi na imebidi aje mkurugenzi wa acacia kutoka canada kuja kusolve issue na wamekubali kulipa madeni yote na kukaa na serekali meza moja kupitia mikataba upya ili kila mmoja anufaike
 
Nliulizia link juu net cjaona kitu kama 84b
 
Nliulizia link juu net cjaona kitu kama 84b
Amout hio ilitajwa kwenye kamati zilizoundwa infact ni zaidi ya 84b na wamekubali kulipa na kukaa meza moja kwa mazungumzo zaidi...
Kamati ziliwasilishwa kwa rais na by the way hzo ni siri za serekali haziwez kua open
 
mtawauwa wakenya hafu kile kinnchi chao wanataka kulinganisha na Tz .....wakenya bwana kweli wamepitwa na wakati ni old skul..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahahhahhaha that's too normal...I just want the CBD not swimming pools and beaches
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…