Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tuliwaambia siyo mchezo hadi chizi komora096 kakimbia huu Uzi kaona unamuumiza moyo asije kufa na pressure Bure.
Uganda ilichokoza tz kijeshi tukaipiga wakenya wakaona waganda ni wazembe kupigwa na tz sasa
Kenya wametuchokoza kiuchumi kupitia chokochoko za COW vita vikaana rasmi vikosi hodari vya tz vikiongozwa na jemedari magufuli tayari wakenya wamesha tambua kuwa ngoma ni ngumu maana Kenya ilijiamini kwa kuwa na mabeberu nyuma yake kama alivyo jidanganya idiamini kwa kuwa na gadafi
 
Top 10 African countries with the best roads
SADC - South Africa
- Botswana
- Namibia
East Africa - Rwanda
- Kenya
West Africa - Senegal
- Ivory coast
- Cape Verde
Naitafuta Tanzania sijaona kwenye kundi la top 10 Africa
Kwamba kijinchi cha Rwanda kinaizidi Tanzania Kwa barabara? [emoji23][emoji23].
 

Tatizo sio mkandarasi, Kenya walipigwa na serikali ya China, uyo mkandarasi kazi yake ni kujenga kulingana na michoro aliyogewa. Kama unajua taratibu za ujenzi utanielewa, uwa mkandarasi anajenga kulingana na michoro ya mteja, na kwa kenya mteja alikuwa ni Serikali ya Kenya na China.

Makampuni ya China ukiwapa michoro outstanding mbona utafurahia kazi yao..angalia zile barabara za mitaani (DMDP) na stendi za kisasa, angalia interchange ya Ubungo, ona meter gauge walivyokalabati fresh hadi kufikia speed 80km/hr. Therefore, they r good companies when it comes to good clients.
 
Fact,, country ya wachawi
Facts East Africa (@east_facts) Tweeted:
FACT: In Tanzania, albino body parts are after for potions and charms thought to bring luck and wealth. ( )
 
Wakenya naomba niwakumbushe mana msije sema hatukuwaambia, hyo treni ya umeme unayoiona hapo chini hyo ipo stesheni, hapo ni ulaya hapo co bongo, ss hyo picha ya chini co mawe hayo hiyo ndiyo itakuwa Dodoma station ya treni zetu za umeme, yn kwmb treni zitakuwa zinaingia ndani km ulaya vile yn km picha ya juu hapo [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…