The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,666
- 98,993
Ss huyo anayezaa ni mwanafunzi au mama, kaenda kusoma au kusomea dushe, km akipata mimba ni lazima afukuzwe kila kitu kina sheria zake na lazima ukubali km unataka kuwa padri sharti ucwe na mtoto na km unataka kuwa sister sharti uwe bikra, ss unawezaje kutaka yote?Kuachisha msichana shule sababu ya kupata mimba ni ujinga. Na magufuli ni mjinga kwa kufanya ivo. Huku Kenya hakuna option kama kuacha shule ni either uko shule ama uko shule.
Community policing yenyewe haitakubali ukae bila kwenda shule chief mwenyewe atakukujia. Somesheni wadada zenu jamani.
Huyu mjinga wenu rais magufuli mwenye nundu kichwani atawaachia maafa tu.
Hii tabia ya kutukana rais wa nchi yetu iwe mwisho hapa.jikite kwenye hoja zenye akili.Kuachisha msichana shule sababu ya kupata mimba ni ujinga. Na magufuli ni mjinga kwa kufanya ivo. Huku Kenya hakuna option kama kuacha shule ni either uko shule ama uko shule.
Community policing yenyewe haitakubali ukae bila kwenda shule chief mwenyewe atakukujia. Somesheni wadada zenu jamani.
Huyu mjinga wenu rais magufuli mwenye nundu kichwani atawaachia maafa tu.
Yaan ni pabaya kichizi
Unajua uhuru ukizidi sana mwanadamu mwisho ni majanga, hvi mtoto atiwe mimba akiwa shuleni alaf arudi shuleni kwanza unawafundisha nn wanafunzi waliobakia mashuleni? Unafkiri kutakua na masomo hapo wakat tayar huyo mtoto ana majukumu mazito mbele yake , na serekali ya tanzania haikumfukuza ila imemtaftia elimu mbadala kwasababu hata kimawazo aliepata mimba na asiena mimba hawawezi kua swa hata siku moja wala hili halitaki ramli mark my words.Kuachisha msichana shule sababu ya kupata mimba ni ujinga. Na magufuli ni mjinga kwa kufanya ivo. Huku Kenya hakuna option kama kuacha shule ni either uko shule ama uko shule. Community policing yenyewe haitakubali ukae bila kwenda shule chief mwenyewe atakukujia. Somesheni wadada zenu jamani.
Huyu mjinga wenu rais magufuli mwenye nundu kichwani atawaachia maafa tu.
Hapo ndipo nnaposhangaa yn hzo gari ni za kitambo mno lkn kenya zipo tukiwaambia Wakenya ni washamba wanabisha, Chai arage ilo apo na lina operate mpk hv tunaongea [emoji3][emoji3][emoji3]
Hivi kuna jambo ambalo Kenya mnafanya sahihi?, hivi kuna watu wapumbavu na wasiokuwa na akili kama Kenya?, kuna rais mvuta bhangi na mpumbavu kama Uhuru Kenyatta?, kila kitu sasa hivi mnaiga Tanzania, hata hili la Mwanafunzi kupata mimba pia mtakubaliana na kuiga Tanzania, wapumbavu wakubwa ninyi, hata akili hamna, kila kitu lazima muige nchi zingine bila kutumia akili zenu.Kuachisha msichana shule sababu ya kupata mimba ni ujinga. Na magufuli ni mjinga kwa kufanya ivo.
Huku Kenya hakuna option kama kuacha shule ni either uko shule ama uko shule.
Community policing yenyewe haitakubali ukae bila kwenda shule chief mwenyewe atakukujia
Somesheni wadada zenu jamani.
Huyu mjinga wenu rais magufuli mwenye nundu kichwani atawaachia maafa tu.
We buda acha kumtukana Magu, hayo maamuzi hajayafanya mwenyewe bali ni kutokana na maadili ya jamii yetu na hata hao wanaompinga hiyo hoja wakipewa nafasi ya kusimama kama yeye watafanya the same usifikiri kakurupuka tu. Na sio kwamba wanakosa elimu kabisa bali wanapewa elimu ambayo wataweza kumudu muda huku wakilea.Kuachisha msichana shule sababu ya kupata mimba ni ujinga. Na magufuli ni mjinga kwa kufanya ivo. Huku Kenya hakuna option kama kuacha shule ni either uko shule ama uko shule.
Community policing yenyewe haitakubali ukae bila kwenda shule chief mwenyewe atakukujia. Somesheni wadada zenu jamani. Huyu mjinga wenu rais magufuli mwenye nundu kichwani atawaachia maafa tu.
Modern city in EA[emoji23][emoji23][emoji23]Hizo ndio Buses from the City? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu wanafurahia toll road ya 27km . Hivi vipanya navyo vitapita toll road? Yaani hapo hawajaangalia priorities hata huko kwa wazungu wanakoshangilia wako busy kuboresha public transport . Hivi 27km ya barabara ya juu inaweza jenga kilomita ngapi za BRT? Huko nje tunaona hata baadhi wa viongozi wanatumia public transport kwa sababu vinaenda haraka . Huu ni uamuzi mwingine wa kuchekesha kwa kenya na hila hiyo hiyo ingeweza jenga hata BRT ya kupunguza kero karibia Nairobi yote
60% ya wakenya wanaongozwa na kusikiliza maagizo toka Dodoma.Muongezee na hizi:
Magu akitoa maagizo ya kuiongoza TZ hadi wazungu wanaiga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]hao middle income bhana kwa mikweche tu hawajambo wako vizuri
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]hao middle income bhana kwa mikweche tu hawajambo wako vizuri
Wivuuuuuuu.hili la anaesemekana ni mtanzania kukutwa mtaan na uvimbe, wakenya wanaipost kila eneo, afu lawama anapewa Magu, hiv Magu kawafanya nn wakenya, si kwa kumsakama hiv [emoji23][emoji23][emoji23]