Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Vipi kuhusu Runda, Muthaiga, kitusuru, mbna hamsemi blacks wako recist..

Duh, wahindi ni km wasomali tu, wanapenda to gather sehemu moja kw sana...so hku kenya ukija na akili hzo watu watakushangaa..
 
Nicxie Tz is going on well am telling you, if u don't believe it zen time will do it for you.
Where have I said that TZ is not doing good? The problem with most of you is that you think life begins and ends in Tanzania. That other countries are immune to development. That's a very stupid way of looking at things. It even gets worse when you discredit projects in other countries and even call them show off while you glorify lesser projects in your own country and think they look better and greater than projects found in other countries. Isn't that epitome of jealousy?
 
Ni akili za ujamaa hizo...ati PPP ni kuuza nchi na jamaa ako very confident
Duh!!achana, wabongolala bana..
Sasa ukiangalia kati ya wakenya na watz ni akina nani wamwkariri kingereza[emoji23][emoji23]
 
Vipi kuhusu Runda, Muthaiga, kitusuru, mbna hamsemi blacks wako recist..

Duh, wahindi ni km wasomali tu, wanapenda to gather sehemu moja kw sana...so hku kenya ukija na akili hzo watu watakushangaa..
Kitu funny ni kwamba hao wahindi "racists" wanamiliki uchumu wao. He also needs to be reminded that Indians are predominantly found in Parklands but not westlands. Wetlands is mostly blacks
 
Ingekuwa Tanzania ndio inajenga hiyo expressway ungeskia venye wanjisifu hapa. So because it`s Kenya, the story has changed to showing off.
 
Kitu funny ni kwamba hao wahindi "racists" wanamiliki uchumu wao. He also needs to be reminded that Indians are predominantly found in Parklands and westlands. Wetlands is mostly blacks
Hukuona mwenzake kakimbia, nilimuuliza arudie tena kauli yake km westlands blacks hawamiliki kitu...lkn kilichonishangaza mpka sasa kasepa
 
You overrate yourself you think kuna mwenye anajali about Tanzania hivo.....kawaida yenu kukana shida zenu tumewazoea
Uache kujali namna unavolishwa?...,ni sawa na kusema bibi asimweshimu bwana wake.
 
Vipi kuhusu Runda, Muthaiga, kitusuru, mbna hamsemi blacks wako recist..

Duh, wahindi ni km wasomali tu, wanapenda to gather sehemu moja kw sana...so hku kenya ukija na akili hzo watu watakushangaa..
Kama 3/4 ya Nairobi wanaishi kwenye slums, ni rahisi,tafuta hiyo 1/4 ni akina nani...
 
Hukuona mwenzake kakimbia, nilimuuliza arudie tena kauli yake km westlands blacks hawamiliki kitu...lkn kilichonishangaza mpka sasa kasepa
Si unajua ile narrative yao kwamba Nairobi ilijengwa na wazungu na kila kilicho ndani inamilikiwa na wazungu na wahindi? These guys are so interesting.
 
Unadhani wakenya ni wambea kama nyinyi...mnajishugulisha na ya Kenya kutokana inferiority complex zenu
Eti ukaidi wa magufuli,tumewatia mid finger sasa hivi wenyewe mnaiga magufuli way kupambana na corona,halafu mnajizushia tu baada ya hangover ya chang'aa ya kibera eti ummy mwalimu kalazwa sbb ya corona!
 

[emoji375]
 
Kitu funny ni kwamba hao wahindi "racists" wanamiliki uchumu wao. He also needs to be reminded that Indians are predominantly found in Parklands but not westlands. Wetlands is mostly blacks
Bila wahindi huko Kenya Hakuna mkenya anaweza kula ugali, posho mills almost zote ni zao na wapo 6 in your top 10 wealthiest individuals
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…