Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We will not even compare with our CBD cause that small area u call CBD is a joke,maybe we try Kilimani which is more comparable to it
 
Huo utoto wako wambie wenzio uko kunya watakuelewa....level yenu inajulikana ni K/koo tu...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji382]
Kariokoo yenyewe ndogo iko hapo ndani
 
Bado hauelewi. Unajua maana ya area? Leta area in square kilometers au square feet ya CBD zote mbili Ndio tulinganishe. Hizo screenshots hazina maana.
Nime zoom same height in both photos...so sioni sababu ya kulia
 
sema tusiidharau hii bloc... ni bloc ambayo member states wake wako moto sana katika kukua kiuchumi Africa nzima
Ni kweli ni ya msingi sana,lkn hatutakiwi kwenda kama wao wanavotaka ...ni lazima watusikilize.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…