Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

for phase two 1.9b usd

1.4b loan+ 0.5b tanzania = 1.9b

phase one 1.2b finnaced by gvt of tanzania

hapo vipi imeingia vyema๐Ÿ’‰๐Ÿ’‰๐Ÿ’‰๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Phase 1 is $1.2b from Turkey and $400m from Africa Development Bank
Phase Two is $1.46b from Standard Chatered Bank.
 
Phase one and two ni pesa ya fully pesa ya serikali. Waeza ona Rais akisema hayo mbele ya umma na Marais wastaaf wakati akifunga bunge.

Wakenya ni watu wajilas mno.
Anafahamu kabisa kuwa phase one serikali imejenga kwa pesa yake na phase two pia imejenga asilimia lakini wivu ndicho kinachomfanya aweke ubishi wa kijinga maana kule kwao serikali yao imewaaminisha kuwa haiwezi kujenga miradi mikubwa bila kukopa ndio maana reli yao imeishia machakani halafu wameshindwa kumalizia km chache zilizobaki eti hadi mkopo.
 
So far you are talking out of anger. Me what I wanted you to accept you have already done. That Tanzania`s SGR is done by loan and that`s final.
Nothing lk dat will happen whether you believe or not so far no loan just wait to phase 3 that will be ok to involve loan not now....[emoji16]
 
Phase 1 is $1.2b from Turkey and $400m from Africa Development Bank
Phase Two is $1.46b from Standard Chatered Bank.
leta ushahidi kua tanzania ime sign contract na turkey ya mkopo elewa swali kabla hujajibu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
That`s the bitter truth my friend. Your SGR and Stiglerdam are both under loans.
Of cause its bitter truth but you have to swallow it anyhow[emoji1787][emoji1787][emoji1787] both are taxpayer money.....
 
Let me tell you how Lapset has faired So far
1. Three berths at Lamu port completed.
2. Isiolo airport completed.
3. Road from Lamu Port to Ethiopia and South Sudan is currently under construction.
 
leta ushahidi kua tanzania ime sign contract na turkey ya mkopo elewa swali kabla hujajibu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Nakuambianga kila siku ujifunze kusoma na hutaki kuelewa. Ingekuwa umejua kusoma you could have seen what you asking in that article I gave you.
 

Your fellow arrogant slaves (Kenyans) are vividly discriminated against by systemic tribalism, how can foreign nationals, who have zero command of Queen's language, secure a decent job at the expense of the most dominant tribesmen?

When fabricating anything, you must keep some facts into consideration.
 
Let me tell you how Lapset has faired So far
1. Three berths at Lamu port completed.
2. Isiolo airport completed.
3. Road from Lamu Port to Ethiopia and South Sudan is currently under construction.
and its only bearth one completed ww usifanye watu wajinga sana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Nakuambianga kila siku ujifunze kusoma na hutaki kuelewa. Ingekuwa umejua kusoma you could have seen what you asking in that article I gave you.
leta ushahidi kua tanzania ime sign contarct na turkey over phase 1 loan ukipata mm nafunga acc jamii forum ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Na ile loan tulichukua serikal inatak kuitumia kwa phase 3 siyo two
Mkataba wa makubaliano ya mkopo nafuu wa dola za Marekani bilioni 1.46, sawa na shilingi za Tanzania Tril. 3.3 ambazo Benki hiyo imetoa kwa ajili ya ujenzi wa Reli kwa Kiwango cha Kimataifa (SGR), kipande cha Morogogoro hadi Makutupora, mkoani Singida.
 

Source allan olingo from ntv ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hebu tuoneshe hilo basi la BRT mlilounda[emoji3][emoji3], mtumbwi mliojenga huu hapa unaitwa hapa kazi tu 02 upo kwenye banda la maonyesho ya sabasaba [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Let me tell you how Lapset has faired So far
1. Three berths at Lamu port completed.
2. Isiolo airport completed.
3. Road from Lamu Port to Ethiopia and South Sudan is currently under construction.
Kwani ni mm tu ndio niliskia lamu is a next white elephant...hahaaahaaa...acha porojo bhna mbona viko wazi hivyo...viproject uchwara vimeishia machakan km ile esigiara[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
 
That`s the bitter truth my friend. Your SGR and Stiglerdam are both under loans.
Umeona loan ya standard charted..imekuwa signed onyesha wapi wizara ya fedha ya Tz imesign mkataba wa loan..loan zote tz inazochukua lazima Dotto james au mpango wawepo na zinakuwa aired.....hizo rumors zenu za turkey wametupa loan tuoneshe hapa picha sio gazeti la East africa linalookota habari ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ