Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


acha ushamba... hio sio meli. (ina jina lake ila sio meli)..kazi yake ni kubeba mizigo na kuvutwa na boti kwa mbele.. na hakuna bus wala baiskel zinatoka kwenu
 
Onyesha kwa evidence kiwanda gani Kunyaland kina-assemble model ya mabasi yanayotumika BRT Tanzania!
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji540]hivyo ndivyo mnavyodanganyana........

atii mabus ya brt
 
Mkuu KLM imeacha lini kuja Tz direct? Last time nakumbuka route yake ni Amsterdam-Kilimanjaro-Dar-Amsterdam.
Klm inayokujaga TZ ni moja tuu wakati wote,lkn kule kwa wa kunya kutokana na kuwa na hisa ndani ya KQ wanatua ndege tatu....hapa nazungumzia pick season between July and February.yuko sahihi mkuu.
 
Wacha upumbavu wewe KLM haipitii Kunyaland kuja Dar! Inapitia KIA au inakuja direct to JNIA! KQ walijaribu sana kuilazimisha KLM kuiachia route za EA, KLM ikakataa kutokana na vested interest to Tanzanian market.
Mkuu Geza wakati wa pick season ya utalii...kuna KLM mbili zinazotuaga Kunyaland Asubuhi na KQ na PW ndio wanafanyaga hizo kazi zao kuja hapa kwetu..yuko sawa huyu mjamaa..na yote hii ni ubiya wao na KQ.
 
Its simple your poor enough to fail to secure a peace of land in nirobarry....because its alread taken....so dont show us your tear here....blame your gvt...
Why are you using mucus to think? You think land in New York, Johannesburg, Cairo, Beijing.. etc is easy to get??
Only in a fishing village can you find cheap land in the cbd
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…