Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kwa mujibu wa wakenya, signboard au construction-board inakaa katikat ya barabara inayotengenezwa na si pemben au mwanzo na mwisho wa barabara inayotengenezwa.. [emoji23][emoji23]🤦🏽‍♂️
 
kampuni zilileta tenders za kusupply trains za electric multiple units na ambazo serikali ilipendezwa nazo zilikuwa ni Bombardier ya Canada for TALENT 3 trains na Stadler Rail ya Uswiss for Stadler Euro Dual trains, mpka sasa haijajulikana ni ipi imeshinda tender... (hizi ni habari za chini chini nilizosikia)
i hope walishinda Bombardier
 
Zote zina specs sawa?
 
Zote zina specs sawa?
 

Wanaweza chukua za abiria Talent 3 na za mizigo Euro Dual Trains




 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…