Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapa Posta mpya panahitaji tower la maana haswa hiki kiwanja cha Tanzania Postal corporation! Tanzania Postal corporation needs to up their game! Hata upande wa Embassy Hotel kunahitaji tower ya maana!
Mawazo yako sawa kabisa na mimi. Lile jengo lashirika la posta pale mjini kati linatakiwa liondolewe limekuwa dwarf mno na la kizamani pia na limechukua nafasi kubwa.
 
umeshindwa kuzuia hasira[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

note that

phase one 300km = 80%
phase two 422km = 38%

the modern electric train in africa

Bwahaha!!last year ilikua 75%[emoji23][emoji23][emoji23]
Naona hyo unashindwa kumeza aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…