Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mm mwenzenu cjui kwnn huwa siwazi kabisa competition na haya majiji ya EA, mm akili zangu zipo joburg au Tunis yn tukikaribia hapo kidogo akili yng itatulia lkn co mtu aniambie ushuzi wa haya majiji ya East Afrika yn ctokuelewa kabisa, hebu angalia huu uchafu[emoji116][emoji116]
 
Hivi ushawahi kuzungumza zuri lolote la Tanzania,nakuonaga we ni kupinga tu kila kitu kinachofanywa na serikali ya Tz
 

SGR Dar - Moro 80%


nimependa alivyoongea hapo mwisho kuhusu ukiwa angani, maneno yake yanashahabiana na nilivyoandika hapa [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…