The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Na kuonesha kuwa Mungu yupo huwa hawaachi salama wapuuzi km hawa, unakuta nchi haiishi mabalaa, huku locust kule cholera mara covid-19 haiishi, yote hyo ni kwasabu ya laana ya kuwadhulumu wanyonge, majority wanaishi maisha ya nguruwe pale Kibera huku wachache wanaingia mikataba ya kishetani.Hawa viongozi wa hizi nchi wana laana. Hivi kweli waliookuwa wanasaini hizo deal hawakusutwa rohoni?
ni hatari wanaforce maendeleo wakati hali yao ya kiuchumi si njemammeiona hii habari??
hii barabara for almost 30 years kumbe sio yao.. dadeki ama kweli kenya ni shamba la bibi kwa wachina.. they also to make a profit of almost $1.1 billions
Ha haha haa Magu mwaka huu lazima awachanishe msamba cz wanataka kujibu mapigo meanwhile uchumi wao hauruhusu [emoji3][emoji3][emoji3]ni hatari wanaforce maendeleo wakati hali yao ya kiuchumi si njema
Kunywa supu ya albino ulale wewe.
Your President is brainless. Do you know that?
Huyo ni mshenzi sema tunaenda nae kishenzi shenzi hvyo hvyo [emoji3][emoji3]Duh! Unajua kama Albino ni binadamu kama wewe? Hata wewe unaweza kupata mtoto albino, hivi unaweza kuleta utani kama huo kweli
? Wewe ni binadamu kweli?
Mpaka uko wapi, man?
na kunazidi kuwa cost.....ndiyo vizuri lakini waache waendelee adui muombee njaaHa haha haa Magu mwaka huu lazima awachanishe msamba cz wanataka kujibu mapigo meanwhile uchumi wao hauruhusu [emoji3][emoji3][emoji3]
There is a certain day I told a workmate that if she want to know the real definition of stupidity then she should just cross the border and get to Tanzania. There she will meet all kinds of stupid men, women and children.
Hahahahahah ana kasoro nyng sn ktk grammar ila huwa ni wa kwanza kuona kasoro za wenzie [emoji3][emoji3]If she want
If she wants
Huyo jamaa ndo bingwa wa broken English...hakuna lugha anayoijua vizuri iwe kiswahili au kiingereza,ni kilaza kwelikweliUr a fool, u have been making a lot of grammatical errors here au nikuwekee hapa.
[emoji3][emoji3][emoji3] hakuna mkenya mpuuzi humu km huyu, yn yy ni denial tu all the time pia ana roho ya kikenya halisi, km umewahi kumsikia mama kayayii basi huyu ndiye kayayii mwenyewe.Huyo jamaa ndo bingwa wa broken English...hakuna lugha anayoijua vizuri iwe kiswahili au kiingereza,ni kilaza kwelikweli
Na kuonesha kuwa Mungu yupo huwa hawaachi salama wapuuzi km hawa, unakuta nchi haiishi mabalaa, huku locust kule cholera mara covid-19 haiishi, yote hyo ni kwasabu ya laana ya kuwadhulumu wanyonge, majority wanaishi maisha ya nguruwe pale Kibera huku wachache wanaingia mikataba ya kishetani.
😀 Hawa wachina hata marekani wenyewe wanakaa nao kwa umakini, ukizubaa wanakutafunahiki ndo wachina walitaka kufanya kwenye mradi wa bagamoyo port.. imagine unapita kwenye hio barabara then wachina wanakula hela yako [emoji23][emoji23]
View attachment 1486458
pia kumbuka kwenye mkataba wa kuendesha SGR.. ase mtapigwa hela nyingi sana..
Wanaenda kuweka rehani JKIA baada ya Mombasa port!hiki ndo wachina walitaka kufanya kwenye mradi wa bagamoyo port.. imagine unapita kwenye hio barabara then wachina wanakula hela yako [emoji23][emoji23]
View attachment 1486458
pia kumbuka kwenye mkataba wa kuendesha SGR.. ase mtapigwa hela nyingi sana..
Inaitwa kutuandaa kisaikolojia ilibidi apekue mradi unaoendanaendana in the region!Hahahaha kumbe ndio maana kuna nyang'au jana alileta picha ya the most expensive road ya Uganda kumbe na wao ni zaidi [emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23] 100%Your President is brainless. Do you know that?
Wacha maneno chafu, Kuna mambo mengine hua mnatoka kwenye lane kabisa,Nmeshangaa Wanjala na ujanja wake wote anashindwa kutofautisha sidewalk na city garden...Kwenye hii forum wabongolala ni 98% kwa idadi lakini 4% ndio wanauwezo wa kutambua mambo bila kuhangaika