Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Topic ni stations[emoji23][emoji23], yaani naongea kuhusu "kichwa/uso" wewe unatazama "tako"., [emoji23][emoji23][emoji23] ngoja train zenyu zije zianze kazi then we will discuss.
Niliona sana ila nilitaka ukubaliane na mimi kama pa1 na kuwa na station lkn kwenye train mna mitungi ya chang'aa
 
Wenzetu hapo Somalia..jasho inawatoka..huku matokeo yakikosekana.
What happened kwa border ya Mozambique mumeshindwa ku contain terrorists from your country wanasumbua Mozambique, fyata domo domo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mods pulled down my thread on that news! Tanzania hampendi ukweli, a news already in the public domain!
 
We ulitaka tukawapige huko msumbiji au?
 
Send them to eliminate terrorists from your country wanao sumbua Mozambique [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], walishindwa kuwa dhibiti, kuna taarifa in whispers they are a group to sabotage Mozambique's natural resources like gas n oil, TPDF wamelemewa kuwadhibiti[emoji23][emoji23]

Ask mods to reinstate my thread they pulled it down!., inasemekana Tz is a terrorism hub. The group originates in Tanzania ambapo wanakula kiapo. This is serious!!
 
TPDF walishindwa kuwazuia wasiingie msumbiji baada ya kukula kiapo wakiwa Tanzania, I may repost the news if necessary. What your media won't do. Those guys have sworn to kill even gov't officials and Christians, a pathetic group.
We ulitaka tukawapige huko msumbiji au?
 
Nani ana control Kismayu? Former makao makuu ya Al Shabaab![emoji23][emoji23] wivu itakunyonga wewe [emoji23][emoji23]
TPDF wadhibiti kikundi cha magaidi kinachitokea Tanzania, si mnajidai mko na intelligence ya maana! Aibu kwa taifa!
Wenzetu hapo Somalia..jasho inawatoka..huku matokeo yakikosekana.
 
unapenda kujidanganya kwa kujifurahisha........
eti TPDF imeshindwa,imeshindwa nini,wapi ,lini na saa ngapi....?••• au uliota ndoto ya kivita ukiwa front captain na ukala kichapo ukahisi hiyo ndoto ni TPDF[emoji3][emoji3][emoji4][emoji4]
endelea kujidanganya na hizo taarifa zako za kichwani

Tz Army huwa hatuna historia ya kuloose mission......... iko wazi
 
fact
 
Sisi tulianzia zamani,kdf is so powerful in Africa,nyi hamna kitu mnajua
Wakati jumla ya wanajeshi wote wa KDF ni 24,000 pekee, wacha kuweka vitu vya ajabu, tunazungumzia jumla ya wanajeshi walioko sasa hivi katika UN peace missions, sio accumulative tangu nchi ilipopata Uhuru, hata hivyo ni uongo kuwa na wanajeshi wengi Mara mbili ya idadi ya jeshi la nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…