Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

these low lifes from Tanzania just envy us.....don't give them too much attention. We are obviously better than them by far in everything. ....
.......Infrastructure. ....brains. ....development. ....modernity.....civility.....class.....sophistication. ....sports. ..name it.No wonder they fear our aggressive nature.....hahaha. Being Kenyan is the greatest feeling.....we need more haters than ichoboa and spensa. ....least developed country manenos. ......
 
hizo tu tower tatu za Dar zime repostiwa hapa mara one thousand hadi nikakumbuka Ile topic ya maths ya matrix and transformation. .
..duh.....
 
Alafu cholo mzii ngoja nikupe elimu kidogo kuhusu dar.....dar ni kubwa sana na inabarabara nyingi sana tena sana kuliko nairobi eg njia za kuingia dar ziko zaidi ya 10 my friend
Hold that thought.

Say what now?
 
Du alafu una type APA ukiwa na mkeo kibera au upo na mkeo mmepanga nyumba mnalipa kodi kwa landlord ndani ya nchi yako mwenyewe umefanywa mtumwa na kikundi cha watu wachache wanamiliki ardhi yote Nairobi, Tanzania ni safi mwanaume unajenga nyumba mwenyewe tena ur dream house sio dream ya kidume kingine uko Nairobi kinawajengea ma bweni mnabaki kujisifia nani anaishi bweni la ndoto yake[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Haha go easy on them. Hawaelewi hii mambo i was surprised to find that barclays bank tanzania is owned by barclays group 100% i mean... Hawabakishi hata 1% really, thatis so illegal in kenya you wont have a chance in the market with such crazy terms


Just note the revenue thou ' the "big economy" of Dar.
Woooi!! I never knew that was the magnitude... These are the same guys that talk ill about kibera every time? Crap! Why are we even in this battle anyways, that has got to be a wrap!
 
Kadoda likes to use social media as evidence...[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji117] [emoji117] [emoji117] [emoji117] [emoji117] [emoji117] [emoji117] [emoji117]
Let him get a taste of his own medicine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…