Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,162
- 107,730
wacha kurudia habariTemporary Data Center at Konza city now offering services to Companies in Kenya.
View attachment 1476134View attachment 1476135
Construction of the ultra modern center ongoing.
View attachment 1476136
and yet mna njaa!Agriculture in Kenya is way ahead of its peers in Africa.
View attachment 1476140View attachment 1476141View attachment 1476142
Eishh..copying what? this kind of bricks have been in Tanzania as long as i can remember VETA used to teach juakalis to manufacture them!When this project is done, Nairobi will be the most beautiful city in Africa. I know Tanzania will copy.
View attachment 1476156
Njoo nyumbani kwangu uone mjengo mpuuzi wewe. Na ni dream house kwa wakenya wengi sana. Ingekuwa huko kwenu hii nyumba yangu ingekuwa Karen au LovingtonOf course the things you call dream houses ni slums kwetu. Hapo ingekuwa Kenya, tungeiita slum
Mpuuzi kweli wewe,Nimekuambia when it comes to roads Nakuru nd'o level ya Dar. Hizo story mob jiekee utaambia wajukuu wako.
Anajipendekeza huyoYaani Kenyata Anatangaza Bendera ya kenya Kupeperushwa nusu mlingoti
Kifo cha Nkurunzinza!!
imekaa kama hospitali hizi tiles hataa!This Tower In Nairobi is Sleek and beautiful.
View attachment 1476167
Ndiyo magufuli kesha sikia lazima tujenge dar yote vizuri na njia za miguuWhen this project is done, Nairobi will be the most beautiful city in Africa. I know Tanzania will copy.
View attachment 1476156
Hivi hizi ndege tatu ni miongoni mwa zile Air bus zinazokuja mwakani..au ni hizi za sasa dream liners mbili na Cargo flight?
ndege ya cargo ni budget yake ni ya 2020/2021 inayoanza July! Haya ni malipo ya A220-200 mbili na Bombardier na pia dreamliner 2 zitakazokuja na hiyo ya cargo!Nadhani hapo cargo halikosi hapo
Haya uliyoyaandika ndio huwa nawaambia Wakenya ambao wanakazana kupost majengo humu yasiyo na impact kubwa kwa walalahoi ambao ndio wengi, yn tupo tofauti sn wao wanapost majengo na magari, cc tunapost miradi ya kimkakati ambayo asilimia kubwa inaenda kumgusa mlalahoi, na huu ndio ukweli kwamba Tz ikishakamata usukani itakuwa ngumu sana kufikiwa na nchi yoyote hapa EA kwasabu mazingira ya kiitikadi huku kwetu yapo vzr, hakuna udini wala ukabila, tofauti na wenzetu, cc tulihitaji mtu shupavu asiyeendekeza siasa ili atuamshe na tumempata, so jirani zetu wategemee Tz kutawala ktk nyanja zote za kiuchumi miaka michache ijayo.Sasa hilo linamsaidia nini mwananchi mnyonge maana hao ndo wako wengi kwenye nchi zetu.
Pambaneni na kuinua kilimo maana tumechoka kuwalisha, pelekeni maji vijijini na mijini, sambazeni umeme vijiji vyte, boresheni huduma za Afya.
Yawezekana iliandikwa kuwa kuna muda utafika mwana Tanzania atarudi kwenye nafasi yake afrika ya mashariki.
Nataka kuwahakikishia ndugu zetu Wakenya ikiwa Tanzania tukarudi kwenye utawala wetu wa awali afrika mashariki yaani kiuchumi ulioambatana na uzalishaji,usafirishaji,utalii, n.k basi haitakuja kutokea Kenya kurudi kwnye hyo nafasi tena, kwanini, kwasababu JPM amebadilisha mfumo wa uongozi na uwajibikaji ambacho hicho kitu hakiwezekani Kenya kutokana na Ukabila uliopo unaopelekea hata Raisi kushindwa kumtumbua waziri wake kwa maana unakuta waziri anatoka kabila tofauti na yeye na hivyo kuogopa kukosa kura kwenye kabila hilo kwa uchaguzi ujao.
Ona Tanzania inavyojitawala sasa hivi hadi raha[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]...this is going to take century kwa kenya kufika hapa
View attachment 1476189
View attachment 1476190
View attachment 1476191
View attachment 1476192
Izo airbus ziko poa sana wasichoke kununua izo ndegendege ya cargo ni budget yake ni ya 2020/2021 inayoanza July! Haya ni malipo ya A220-200 mbili na Bombardier na pia dreamliner 2 zitakazokuja na hiyo ya cargo!
Yaani ni nzuri harafu ni saiz flani ya kati.Izo airbus ziko poa sana wasichoke kununua izo ndege
Izo airbus ziko poa sana wasichoke kununua izo ndege
Yah, kwa ndege zetu zote Airbus zimekuwa zikisifiwa sn.Yaani ni nzuri harafu ni saiz flani ya kati.
Amazing View attachment 1476497
Sent from my SM-A520F using JamiiForums mobile app