Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

alafu mi uwaambiaga... jengeni miundo mbinu kwanza kisha wawekezaji wakiona mandhari mazuri ya kuja, watajitokeza tu. kisha angalia wakati Nairobi ikipanda ,,, dar inazidi kuenda chini. serikali yenu sijasikia inajenga tower nyingine. meanwhile Nairobi bado hatujatosheka na highways.
 
Hahahhahaha private inamaanisha more buildings of nairobi are owned by investors πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Na niliwah kukwambia buildings nyingi nairobi zinamilikiwa na investors
so private changed its meaning???
you are right. investors wanaweza kuwa waKenya wenyewe. Kenya is a capitalistic country. Ujamaa ni backwardness
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…