Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wana kitengo maalumu kwa ajiri ya watu kufanya matukio ya ajabu ajabu kam mme kumuwekea mke gundi sehemu za siri

kupika mawe

muda huohuo mwingine anauwa mamba aliyemuuwa mke wake miaka kadhaa nyuma
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Unajua hii sehemu kweli? Fyata domo wacha wivu.,
Hii sio mashamba ya mkenya....mashamba ya mabeberu...unilever...tuonyeshe hizo slam hapo kwenye background ya picha,hapo ndo mkenya ananyonywa damu...
 
Blablabla...akuna jibu kaa kimya kama hujui...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…