Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hawa jamaa wako "shortsighted" sana,hawajagundua watz tunaangalia 100Km mbele,wao wanaangalia 100M! Humuoni hapo aise!
 
Eti curfew itaanza saa 3 usiku hadi saa 10 alfajir

Aisee kweli mlevi ni mlevi tu..wakenya nyie mnakubali vp kuongozwa na mlevi??!
 
Eti curfew itaanza saa 3 usiku hadi saa 10 alfajir

Aisee kweli mlevi ni mlevi tu..wakenya nyie mnakubali vp kuongozwa na mlevi??!
Huu ni wakati wenu wa kupunguza gap Ila naona mnapiga kelele tu.
 
Hahahaha, talk a little bit about your SGR before you talk about your hopeless Lamu port project, is your SGR project successful?
 
Kuna fala simuoni humu wala kule, sijui nimtag [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

EACOP ishaumiza watu humu watarudi mwezi ujao [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Sasa mbona mshaanza kulia lia kule twitter wakati JPM kwenye hii clip alikuwa anazungumzia nchi zilizo weka lockdown!

Halafu hii clip ni mwezi uliopita lakini imeanza kutrend kenya nzima.

Ulisema eti tungoje Kenyatta akitoa lockdown tarehe sita ambayo ni leo. Ndio maana nikakuuliza kwamba Kenya kulikuwa na lockdown lini. Why are you walking away from your own words?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ