Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wote walioka black ni wawili tu na wanasabab malumu moja ni president na mwingine sijui amevunjika au kutenguka mguu naona yuko na ogo..pale..daaa cyo kwa ukoloni huu
....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
nimecheka sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116] dunia haina haki hii

 
nimecheka sana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ dunia haina haki hii

Hao waliowekewa red carpet na viti inaonesha kulikua na hafla moja matata, ila hao waliochuchumaa sidhani kama walikula wakiwa wamesimama au kuchuchumaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ