Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hakuna cha kujiuliza waficha uchi,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nchi mingi zilizoendelea kuwashinda have skeletons na hawafichi kaka[emoji23][emoji23][emoji6], sasa na hiyo akili yako punguani utasema nyie mko vizuri ata kuliko South Africa, reasoning yenyu inachekesha kweli,[emoji23][emoji23] go pick admission form pale Dodoma university then DM me ndakulipia karo, angalau uwe na intellectual mindset, not pedestrian reasoning[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hvi mm hua najiuliza hawa ile GDP iko wapi na inasaidia nn, hii ni failed state[emoji15][emoji116]

Look at South Africa's skeletons, Tanzania wako na uchumi mkubwa kushinda ata SA baby[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

View attachment 1463305View attachment 1463306
 
Nchi zote zenye slums zinatia aibu Afrika, utakuwaje na slums karne hii bhn.
 
Kweli mkoloni katujengea Nairobi, CBD, westlands, upper hill Mombasa road, Kenya ya wazungu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Utakuaje na masikini wengi wa kutupwa (extreme poverty)karne hii?., with covid many will slide in., inasikitisha kaka[emoji17][emoji17][emoji17]
Nchi zote zenye slums zinatia aibu Afrika, utakuwaje na slums karne hii bhn.
 
kwamba wanaovunja wajengewe matundu wakavuje hamuna pedi za kuwapa😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…