Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mimi huwa naona huwa haweki wazi hesabu za mali zake na biashara zake lakini uhalisia yumo.
Co Bakhressa tu, pia Oilcom, TRH, Abood, hawa unataka kuniambia hawajafika $1b? Binafsi huwa siamini, ila km data zinavyosema tuendelee kuziheshim mpk pale watakapotangazwa.
 
Co Bakhressa tu, pia Oilcom, TRH, Abood, hawa unataka kuniambia hawajafika $1b? Binafsi huwa siamini, ila km data zinavyosema tuendelee kuziheshim mpk pale watakapotangazwa.
Abood mbabaishaji huyu amenyang'anywa viwanda Morogoro alivyogeuza godowns! Wacha utani mzee! to be billionaire si mchezo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…