Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sisi tunasema Dodoma university is the biggest University sio the best university. Ukilinganisha University of Dar es Salaam na Dodoma;
Dodoma University = The bigger
University of Dar. =The best.
 
Now back to your speciality[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], umesahau kusema Dar baby![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],
Vipicha vije kwa wingi Ichoboy01, usitoke jf nitaboeka sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
lazma niwepo bro kwa ajili ya kuwanyoosha usijal hapa mpaka 2025 Mungu atuweke hai
 
yani kenyata alone anaeza miliko ardhi kubwa kias cha kuweka wakenya million 20 hvi nyinyi mulirogwa na nani???πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yani tena ur so confortable with that what about raila vo kuhusu jamii yote ya politicians πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. ukubaliane na ukwei kwamba ardhi ya kujenga imeshikwa na wachache sana hasa politicians
 
What is its global ranking? Africa ranking? East Africa???., [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poor and erroneous public relations[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
university imejengwa juzi tu serious na bado ujenzi wake unajengwa mpaka leo hii tunavoongea mm na ww huwez fananisha ranking na universitu kama UDSM au KU ambazo zina miaka 50 na zaidi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ tulieni sindano ziingie kwanza
 
tena mtu yuko confortable kusikia kenyatta alone anamiliki ardhi yakuhifadhi wakenya million 20 tena anakenua kabisa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
hzi hesabu za dukani bro πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
wewe hushangai au its normalπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ binaadamu mmoja anamiliki ardhi yakuweka wakenya million 20 alaf uko hapa unakenua hahaha hapo hatujagusa politicians wengine
 
Now you are talking, tuko tofauti nakubali, sio zile selected propaganda za kakako desperate blind patriot Ichoboy01, analazimisha Kenya ikue kama anavyo dhania yeye [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
sio mambo ya kukua usitudanganye hapa munanunua nyumba wakat u have no job munanunua na ndoto auπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ unemployment rate kenya ni kubwa africa nzima sasa munanunua na nn aua mawe nyi pangeni kwenye bedsitter hali ikiwa ngumu unarudi slums za nguruwe maisha yanasonga
 
More from the Affordable Housing project -units at park road


Hata watu wa jua kali wanaeza afford kulipa hii morgage... Kwa mfano kama unaishi kwa bedsitter au single room na unalipa from 5,000 and above na umeishi Nairobi kwa miaka 10....

That means umelipa rent ya (5000 x 12 months)x 10 years = 600,000 Ksh ndani ya hio miaka kumi, ukikaa kwa hizi nyumba hio elfu tano tano kila mwezi ingekuchukua miaka 15 na ungekua unamiliki hio nyumba.

Kwahivyo kwa wale ambao ni wazazi na watoto wao wanaenda collage/university, angalieni huu mradi wa boma yangu kama mnaweza kusajilisha watoto wenu, Mwanafunzi akiingia university hadi siku ya ku graduate hio tayari ni miaka mitano, akitafuta kazi hapo ni miaka miwili akifanya internships au akitafuta kazi... By the time mtoto huyo anaanza kupata mshahara wa maana utakuna ni miaka karibia kumi... Mda huu wote umekua ukimlipia rent mtoto huyo, kama ingekua hio rent unalipa kwa mfumo huu mpya wa boma yangu, mtoto huyo angekua ako karibu kumiliki hio nyumba permanently na baada ya hapo mshahara wake anautumia kufanya mambo mengine ya kimaendeleo kama kufungua biashara... Baadae ndo akiwa na pesa za kueleweka mtoto mwenywe anaweza kuenda kujijengea dream house yake.


Interior show house,











Project yote ya park road ikimalizika itakaa kama hivi
 
wewe hushangai au its normal[emoji23][emoji23][emoji23] binaadamu mmoja anamiliki ardhi yakuweka wakenya million 20 alaf uko hapa unakenua hahaha hapo hatujagusa politicians wengine
Capitalist state, menye nguvu mpisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], hilo si jipya., kuna watu wana thousands of acres of land, na wana uwezo wa ku manage..,
 
Capitalist state, menye nguvu mpisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], hilo si jipya., kuna watu wana thousands of acres of land, na wana uwezo wa ku manage..,
basi hamutakua na ndoto ya kumiliki ardhi wala nyumba mpaka yesu ashuke mark my wordsπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…