Hawa jamaa hua hawaoni mbali kabisa, yani tunafaa tuipe pongezi CCM, hii psycological warfare CCM imewafanyia hawa watanzania ni kutoka dunia nyengine, Jamaa wakijenga ka hospitali kamoja kapya unaona wanajitokeza na za "we have the best hospitals in Africa" wakati utakuta hata hio hospitali haijaaanza kufanya kazi au imefanya ka surgery kamoja tu.. Wakijenga university mpya kama vile dodoma, "We have the best, biggest most modern university" wakati hata university haijawai chapisha scholarly article yeyote ya utafiti ilio kubalika ulimwenguni....Masikini kapata matako yanalia mbwata., Tanzania imekua nyuma kwa muda mrefu, sasa jua limeanza kuchomoza wanadhani ndio basi, ni hao tu wamefanya mambo hayo., "it is only my mother who knows how to cook best" mentality. Watembele majirani na kuonja za kwao pia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
nyinyi mumejenga hospita ngap ukwel ni kwamba nyinyi hamutaki nchi zingine ziendelee mumataka nyinyi tu jambo haliwezekani๐๐๐ mukichomwa sindano tulieni ziingie vyema usisahau tanzanania maendeleo yameanza within 10 yrs only๐คฉ๐คฉHawa jamaa hua hawaoni mbali kabisa, yani tunafaa tuipe pongezi CCM, hii psycological warfare CCM imewafanyia hawa watanzania ni kutoka dunia nyengine, Jamaa wakijenga ka hospitali kamoja kapya unaona wanajitokeza na za "we have the best hospitals in Africa" wakati utakuta hata hio hospitali haijaaanza kufanya kazi au imefanya ka surgery kamoja tu.. Wakijenga university mpya kama vile dodoma, "We have the best, biggest most modern university" wakati hata university haijawai chapisha scholarly article yeyote ya utafiti ilio kubalika ulimwenguni....
sasa dodoma university munaiweza nyinyi kwann musikubali ukweli๐๐๐Hawa jamaa hua hawaoni mbali kabisa, yani tunafaa tuipe pongezi CCM, hii psycological warfare CCM imewafanyia hawa watanzania ni kutoka dunia nyengine, Jamaa wakijenga ka hospitali kamoja kapya unaona wanajitokeza na za "we have the best hospitals in Africa" wakati utakuta hata hio hospitali haijaaanza kufanya kazi au imefanya ka surgery kamoja tu.. Wakijenga university mpya kama vile dodoma, "We have the best, biggest most modern university" wakati hata university haijawai chapisha scholarly article yeyote ya utafiti ilio kubalika ulimwenguni....
sasa dodoma university munaiweza nyinyi kwann musikubali ukweli[emoji23][emoji23][emoji23]
hahaha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]maisha niliyaona kenya sijawah ona maisha ya kinyama sehemu yoyote
alaf anakwambia wanahela ya kunua nyumba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
wakat kenyatta pekee anamiliki ardhi robo ya kenya [emoji116][emoji116][emoji116]
The Kenyatta Family Land Enough To Settle 20 Million Kenyans
What is its global ranking? Africa ranking? East Africa???., [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poor and erroneous public relations[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa dodoma university munaiweza nyinyi kwann musikubali ukweli[emoji23][emoji23][emoji23]
Now you are talking, tuko tofauti nakubali, sio zile selected propaganda za kakako desperate blind patriot Ichoboy01, analazimisha Kenya ikue kama anavyo dhania yeye [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tofauti na Tanzania kila mahali ni Nyumbani inatemegea mapenzi yako binafsi na hela yako mzee.. Huku hatubaguani unaweza zikwa mahali ambako hukuzaliwa kwa mapenzi yako, Now you see the different [emoji848]
Naelewa Mkuu....kifusi boy hvi ndio vitu wakenya hawapendi kuviona ๐๐๐
Hawa jamaa hua hawaoni mbali kabisa, yani tunafaa tuipe pongezi CCM, hii psycological warfare CCM imewafanyia hawa watanzania ni kutoka dunia nyengine, Jamaa wakijenga ka hospitali kamoja kapya unaona wanajitokeza na za "we have the best hospitals in Africa" wakati utakuta hata hio hospitali haijaaanza kufanya kazi au imefanya ka surgery kamoja tu.. Wakijenga university mpya kama vile dodoma, "We have the best, biggest most modern university" wakati hata university haijawai chapisha scholarly article yeyote ya utafiti ilio kubalika ulimwenguni....
Dunia nzima serekali zinatoa economic stimulus programs sababu biashara zita collapse, sasa na unafik unaleta hio taarifa kana kwamba ni special case kwa Kenya tu..... Hata serekali yenu hapo Tanzania iko na foreign exchange reserves ambazo zinaweza ku support inchi kwa miezi sita tu, baada ya hapo kama hakuna uzalishaji wowote uchumi mzima wa Tanzania uta collapse!alaf anakwambia wanahela ya kunua nyumba ๐๐๐๐๐๐๐๐
wakat kenyatta pekee anamiliki ardhi robo ya kenya ๐๐๐
The Kenyatta Family Land Enough To Settle 20 Million Kenyans
Hii ni Kwasababu hamjui yale mabaya yaliomo.Yani mda mwingine nikisoma comment zako utafikiri ni mad men.. ivi watu walio takiwa wawe n hasira n serikali yao ni Tz au kunya ...mara kumi sisi tunapongeza mema yanayo fanyika...nyie mnapongeza kuibiwa kila siku kazi kulialia mitandaoni kama wanywa gongo ...wenzenu wanapika mawe mara hakuna umeme nchi zima mara mikopo kwa kila kitu , wenzenu wanalia uko tweeter ....ila ukija jamiforum utazani kenya ni panafraha km Tz kumbe nimambug yamejaa uku kujifarij...jaman wa Tz tuendele kuwafariji mana hawa jama nchi yao ni km neti inamatundu kila mahali lakini wanashindwa wafanyaje mana ile ni nchi yao, tuendele kuwa confort hawa watu mana nibala mara nzige, mikopo,mafuriko japo walituchek kipind cha lile daraj kuchukuliwa n mafuriko, njaa, kipindupind, ukosefu wa maji kama haya matatizo yangekuwa miradi kenya mngetisha sana soo endeleni kujifarij cyo vibaya[emoji4]
Hahahaha, tatizo lenu ni hilo, ninyi mnataka kila kitu kiwe ni kwa mujibu wa mnavyotaka.Wewe unaangalia majengo short wire[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]university ni uwezo wa kufanya research na kuchapisha scholarly publications in reputable professional bodies for references, thus adding to knowledge, unaelewa hilo kweli? Dodoma wana publications ngapi? How many researches has it carried out through its scholars? Majengo ata primary schools wanazo wewe zuzu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha, tatizo lenu ni hilo, ninyi mnataka kila kitu kiwe ni kwa mujibu wa mnavyotaka.
University lazima iwe na miundombinu, yaani majengo, vifaa vya kufundishia, wanafunzi na waalimu, mambo hayo ndio yanayoifanya kuwa ' big or small University'.
Hayo ya research na Publications yanaifanya University kuitwa 'Best university'.
Biggest = Quantity
Best = Quality
Si nimetoka kusema tu sasa hivi, Angalia vile uko ndani ya mtego, CCM zombie hawezi jua hali yake kamili, unatudadisia kana kwamba Tanzania nchi ya maziwa na asali, Nyani halioni kundule... Vyombo vya habari Kenya siku zote viko huru,vitatafuta habari kote bila woga wala kuweweseka, wakati vyombo vya haabari Tz ni mdomo wa serekali kazi yake kuripoti ni nini serekali imesema... Ingekua ni serekali ya Kenya imeacha kutangaza hesabu za corona nakwambia bado tungeijua hesabu kamili manake vyombo vya habari Kenya vinge track kila mtu ambae ametibiwa corona.....Yani mda mwingine nikisoma comment zako utafikiri ni mad men.. ivi watu walio takiwa wawe n hasira n serikali yao ni Tz au kunya ...mara kumi sisi tunapongeza mema yanayo fanyika...nyie mnapongeza kuibiwa kila siku kazi kulialia mitandaoni kama wanywa gongo ...wenzenu wanapika mawe mara hakuna umeme nchi zima mara mikopo kwa kila kitu , wenzenu wanalia uko tweeter ....ila ukija jamiforum utazani kenya ni panafraha km Tz kumbe nimambug yamejaa uku kujifarij...jaman wa Tz tuendele kuwafariji mana hawa jama nchi yao ni km neti inamatundu kila mahali lakini wanashindwa wafanyaje mana ile ni nchi yao, tuendele kuwa confort hawa watu mana nibala mara nzige, mikopo,mafuriko japo walituchek kipind cha lile daraj kuchukuliwa n mafuriko, njaa, kipindupind, ukosefu wa maji kama haya matatizo yangekuwa miradi kenya mngetisha sana soo endeleni kujifarij cyo vibaya[emoji4]