Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya hakuna matata. .....unadhani mbona wacongo Nigerians Sudanese wamejaa huku na hawadai kurudi makwao. ..mmhh
tanzania kisiwa cha amani.
hizo jamii ulizotaja hata hapa tz wamejaa sana na hawataki kurudi.
 
Wtz wanapenda sana South Africa kwahyo hapo kuna hitaji ushawishi mkubwa sana...mazingira na kila kitu south wako mbele kuliko nchi yoyote Africa....

Video za Tz zipo kibao nashindwa kuelewa tatizo ni ubunifu au nn maana uko south kuna vitu vingi vya kujifunza pia, kama wangeweza kuleta producers kama alivyofanya Diamond kwa video ya SALOME Pia Ni jambo jema
 
But Tanzania iko na natural beauty kushinda south A..ie Kilimanjaro,Serengeti etc kwa nini mshinde mkienda south A
 
Tekno miles alishoot ngoma kwa slum kama Ile 'rara ' but ikahit sana......same na wizkid wa ojuelegba. ......the difference is usually the producer and the artist himself.You are busy enriching SA at your own expense.....hizo places unasifu sana S.A. zimejaa hapa east Africa pia there are some good spots in Nairobi or Dar that can perfectly give you your dream video.....but there is no problem in shooting a video abroad ...shida ni if three quarter of your videos ni za ugenini
 
But Tanzania iko na natural beauty kushinda south A..ie Kilimanjaro,Serengeti etc kwa nini mshinde mkienda south A

wakenya sometimes huwa mnashangaza sana.miaka kadhaa iliyopita niliwahi kusoma comments za wakenya kuhusu tz.

wakenya walikuwa wanasema watanzania hawapo exposed na mazingira ya nje ya tz.kwamba hawapendi kujaribu fursa nje ya mipaka ya tz.

baada ya vijana wa kitz kuamua kutoka nje ya mipaka yao ku-shoot video zao zinazopendwa na zenye watazamaji wengi youtube ikiwemo wakenya,wakenya walewale mnarudi tena kushauri wasitoke nje ya nchi ku-shoot video.SMH

siku zote huwa nasema,ukiona mkenya anamshauri mtz kuhusu jambo fulani,fahamu kwamba anashauri kwa kuwa ameona dalili ya kumzidi kimaarifa na sio kwamba amependa progress yako.

nalizungumza hili kwa uzoefu wa kuishi na wakenya.nawafahamu vizuri.
 
Hii story yote sasa nani atasoma...si uandike novel
 
Food za mtaani ndani ya Nairoberry. ...and Tanzanians take note that our love for avocado is legendary. ....inaingia kwa mboga maharage ama githeri .....nimesahau jina halisi sijui ni
puree......


http://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/572010a57695004
6c460b39c7864d399.jpg

http://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/a743087b8b1752f1fe5e
1f792dc271d3.jpg




http://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/7d2d4324c02b68d
f9cada4efc3b8992a.jpg

 
kadoda hapo nayo umechemsha........stop this hasty generalization fallacy .....when I see some Tanzanians in BBC Swahili celebrating whenever alshabaab strikes Kenya. ...I only take them as individual biases.It would be fair to take that with hook and sinker that it's all Tanzanians.
 
Kiswahili nilifanya high school na nlipita vibaya sana...huwezi nitisha na swahili msee
sasa mbona umeshindwa kuelewa hapa?[emoji116] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…