kennedy0000
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 5,264
- 5,409
Kweli nimiamini hamzihitaji maana mmeshazoea hadi slum za bus stages.
View attachment 1455164
zero brain! kituo chochote kuna soko, bodaboda, bajaj, taxi.. hivyo unakuza uchumi na kuhimiza mzunguko wa hela (watu kujipatia kipato sehem sahihi na kwa shughuli sahihi)
mbona chafu hiviwabambane vp wakat hawana kabisa😂😂
ushuz wao huu hapa👇👇👇
View attachment 1455180View attachment 1455181
UK [emoji636] wanajenga kila kukicha*
zitabadilishwa vp wakat deni linaisha 2050 😂😂😂😂😂Hakuna shida na reli. Kama ni kochi, hizo ni kama gari barabarani zaweza badilishwa wakati wowote.
Nyuma ya wachina labda.
Nyinyi nyuma ya wachina miaka 200.
iko wapi munajenga tuoneshe 😂😂😂 labda musubiri yesu arudi 😁😁😁Tunajenga commuter railway sasa. Tuondoe haya yote barabarani.
Hatuhitaji relic of the past kama nyinyi.
Anadhani hapa ni nairaland, chakula tu tumewagomea cku mbili tu wamejisalimisha[emoji3][emoji3][emoji3]iko wapi munajenga tuoneshe [emoji23][emoji23][emoji23] labda musubiri yesu arudi [emoji16][emoji16][emoji16]
Cargo plane muhimu sana kwa ss aisee
So, does Kenya have those infrastructures? If not, then it's LDC [emoji3][emoji3]Correct.
kumbe itakua na 4floors 👏👏👏Nasikia Eng Simon au ndio huyu wa humu😝😝
ikiwa mambo ya msingi kama maji salama nairobi yamewashinda wanawaza light rail 😂😂😂😂Anadhani hapa ni nairaland, chakula tu tumewagomea cku mbili tu wamejisalimisha[emoji3][emoji3][emoji3]
Imeshaanza kuonesha picha halisi ya kwny renderkumbe itakua na 4floors [emoji122][emoji122][emoji122]
View attachment 1455449View attachment 1455450View attachment 1455451View attachment 1455452View attachment 1455453View attachment 1455454View attachment 1455455View attachment 1455456
Akili ndogo sana,hivi unafikiri bus stand basic aim ni kubebea na kushusha abiria tu?Nionyeshe nchi gani sai ulimwenguni wanajenga stendi kw ajili ya mabasi karne hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena kwa Damu 😉We mbn wetu tu ni suala la muda tu [emoji3][emoji3]
fikra zao ziko nyuma miaka 100[emoji23][emoji23] we huoni hata mchina alipowajengea reli na treni za 100 yrs ago walishangilia
View attachment 1455272