Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

NDUGU ZANGU WAKENYA KUWENI MAKINI NA HIKI KIUMBE KINACHOITWA MAGUFULI, JAMAA NI GIFTED HIVYO ATAWASUMBUA SANA, MZICHANGE KARATA ZENU VIZURI NDUGU ZANGU HUYU MTU AMEPANIA.
 
fikra zao ziko nyuma miaka 100πŸ˜‚πŸ˜‚ we huoni hata mchina alipowajengea reli na treni za 100 yrs ago walishangilia
View attachment 1455272
Jamaaaaani mchina si mtu mzuri kabisa. Hzi si zilikuwa steam engines za miaka ya 1920 sema mchina kazibadili tu mfumo toka steam kwenda diesel engine. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 

Correct.
 
hahahaha basi muko nyuma miaka 100 ndio maana hata mchina kawajengea reli ya miaka 100 iliopita kwa ghrama ile ile ua kujenga reli na treni za 2020πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ unajua kwann kafanya hvo kwasababu muko nyuma miaka 100 bado

Hakuna shida na reli. Kama ni kochi, hizo ni kama gari barabarani zaweza badilishwa wakati wowote.

Nyuma ya wachina labda.
Nyinyi nyuma ya wachina miaka 200.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…