Uwiiiiiiiiiiiiii sijawahi kucheka hivi πππππππππππππππππππππππππππππππππππππHa Haa.
Kizungu ni shida kweli...unaelewa maana ya production kweli?Ss nyie mna ardhi ya kulima avocado nyie, hilo zao linahitaji maji mengi je nyie mna maji? hyo namba 2 tumekaa hapo baada ya Magu kukataza kupeleka kenya so now tunauza wenyewe subiri muone miaka 2 ijayo km mtaingia japo top 10
Very simple structure huwezilinganisha na Uhungo interchange na haivutii kabisa.Haina tofauti na daraja la treni Mbalizi na Uyole Mbeya,Mtoni kwa Aziz Ali Temeke Dar ,Ruvu Darajani au pale Mwanga
Kwani kenya vijijini hakna maji ya mfereji??Km utatumia Google ambapo hawaja update taarifa, ila kiuhalisia hamuwezi kufanana na Tz kwenye sekta ya maji hata kidogo, yn Tz hakuna shida ya maji kabisa, hata vijijini huko, ngj report mpya ije mtajificha.
Mimi nimecheka balaa,Uwiiiiiiiiiiiiii sijawahi kucheka hivi πππππππππππππππππππππππππππππππππππππ
EEti tutawaweka quarantine siku 14 wao na ndege yao
Safi sana, taratiiib tunaenda kuelewanaMimi nimecheka balaa,
But seems wanaloose biashara, minofu ilikuwa inasafirishwa kupitia Nairobi sasa basi, parachichi nazo ndio hivyo,
Viwanja vya ndege vya mwanza na kilimanjaro viko maeneo strategic sana kama vikiwa utilised and equipped fully.
wamebadilisha lugha kwa sasa yani wanasema foreigners wakimaanisha watanzania indirect wayHivi what's a rationale of mentioning the numbers of foreigners?
Nchi yetu ilikuwa inaelekea kubaya sana, hata tanzanite inayopatikana kwetu kwa export tulikuwa Tuko nyuma kweli. Yaani kwa maoni yangu tudhibiti kabisa tanzanite iwe exported from Tz only.Safi sana, taratiiib tunaenda kuelewana
Nimeshangaa pia kwenye Parachichi tumepanda chat kwa kasi ya kimbunga, saivi tumewawashia overtaking indicator, na tu natakiwa tuwapige ban kabisa kuja kuchukua Parachichi Tanzania iwe marufuku kabisa.
Kenyatta sio mjinga kuja kuomba msamaha hara hara hivi, anajua anachofanya na sisi ndio wakati wa kuwaonesha jeuri
still haiwahusu wao wakipata hizo results warudishe watu na si kuanza kusema idadi fulani imetokea mpaka wa Tanzania!wamebadilisha lugha kwa sasa yani wanasema foreigners wakimaanisha watanzania indirect way
kenya hii game imewashinda kwasabbau target kubwa ilikua utalii lakini ndio wamefeli kabisa ππππstill haiwahusu wao wakipata hizo results warudishe watu na si kuanza kusema idadi fulani imetokea mpaka wa Tanzania!
tanzanite imedhibitiwa bro nina jamaa yangu kule anakwambia tanzanite haitoki hata ukucha ππ ndio maana unaona hata kwenye uuzaji wa tanzanite kenya umeshuka vibaya sana hawana hamu na magufuliNchi yetu ilikuwa inaelekea kubaya sana, hata tanzanite inayopatikana kwetu kwa export tulikuwa Tuko nyuma kweli. Yaani kwa maoni yangu tudhibiti kabisa tanzanite iwe exported from Tz only.
πππππππtanzanite imedhibitiwa bro nina jamaa yangu kule anakwambia tanzanite haitoki hata ukucha ππ ndio maana unaona hata kwenye uuzaji wa tanzanite kenya umeshuka vibaya sana hawana hamu na magufuli
Kama mbwayu iwe mbwayu!Ha Haa.
Uganda huannounce kila siku madereva kutoka Tanzania na kenya ila mko sooo obsessed na kenyastill haiwahusu wao wakipata hizo results warudishe watu na si kuanza kusema idadi fulani imetokea mpaka wa Tanzania!
Hiki ni kiswahili kigumu sana kwao.soon mtaelewa maana ya msemo tunaita βmwanakulitafuta mwanakulipataβ
Kenyatta kawafanya saivi kila mtu Tanzania ni povuu kuanzia wakubwa hadi wadogo [emoji23] [emoji23] [emoji23]...soon mtaelewa maana ya msemo tunaita βmwanakulitafuta mwanakulipataβ