Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wanasema moja ya masharti ya IMF kutoa mkopo wa corona ni nchi kuwa in lockdown au curfews.. i’m trying to know the truth of this. naangalia nchi zilizopata mkopo kama either wanajifungia (lockdown /curfew) au wako huru
Kawaida ukinyimwa pesa unaanzaga kutafta tuvisababu....mwaga povu kabisa uwanja ni wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani rais wa kenya anajibiwa na wakuu wa mikoa ya tanzania!!!!![emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23]

Hii dharau sasa...yaani kenyatta level yake ni mama mghwira,mkuu wa mkoa wa kilimanjaro!!!
Haha Tanzania nzima sasa ni mihemko kwasababu uhuru kafunga mpaka....sasa ati mnadhani kenya itarudi nyuma kwa hatua tulizochukua ole wenu...watanzania ni watu wa ajabu sana, mbna somalia hawalii na tuliwafungia mpaka kama nyinyi? Mbna uganda walitufungia mpaka na hatukeshi kwenye social media tukilia? Vipi kuhusu Zambia kuwafungia mpaka? Lakini energy yote mumeangazia kenya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio mmetufungia, tumefungiana, nyie mna serikali dhaifu sana, yn serikali yenu imeshindwa kujua kwamba vigezo mlivyopewa vya mkopo ni vya kishenzi, yn mchukue mkopo lkn msizalishe, eti mjifungie ndani km hao waliowapa duuhh even a std seven dropout student can't agree with, mnakubali kuchukua mkopo lkn uwasaidie kwa chakula na co kuzalisha daaahhh mcje tena kuchagua wahuni waongoze nchi, ubongo wao umejaa mavi kichwani....smh
 
sio uhuru masharti yamikopo yamewafika makalioni hamuwezi kutunisha misuli dhidi ya tanzania kwenye mipaka nyinyi sisi tumezungukwa na nchi 7 mpaka 8,

asilimia 90% ya mizigo mipakani ni inayotoka tanzania kuja kenya sasa nani anakwama hapoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


alaf zambia washafungua mpaka zamani sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
huna habari weweπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
yani tanzania iagize energy kenya πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ unazungumzia energy gani???
 
huyu jamaa nimemkubaki sana yani amejitoa kiume sana πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ

 
mutajua hamujui πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ njaa itawaua na sio corona

 

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…