VERITE-NUE JF-Expert Member Joined Jan 28, 2019 Posts 1,492 Reaction score 1,466 May 16, 2025 #1 Inasemekana, bata ukimfungia sehemu kwa siku zisizopungua 40, anakufa na badae ukifunua utakuta kawa nyoka. Hili ni kweli au ni uzushi tu wa watu?
Inasemekana, bata ukimfungia sehemu kwa siku zisizopungua 40, anakufa na badae ukifunua utakuta kawa nyoka. Hili ni kweli au ni uzushi tu wa watu?
T The Gentleman Pirate JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 1,481 Reaction score 960 May 18, 2025 #2 Hapana si kweli
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,930 Reaction score 1,252,077 May 22, 2025 #3 Potoshi