Bata la Dar "Clouds Fm" vs Komaa Concert "Efm" Nani ni Nani?

nyumbamungu

JF-Expert Member
Mar 3, 2017
994
821
Nimesikiliza Clouds FM katika kipindi cha Power Breakfast leo asubuhi kutoka kwa watangazaji wa kipindi hicho Nanuu, " Wameamua kukuleta BM (Adam Mchomvu) baada ya vijana kushindwa..." Mwisho wa kunukuu.

Nae Adam Mchomvu alikiri Nanukuu, "Kuna eneo vijana wamepwaya ndio maana nimekuja..." Mwisho wa kunukuu.

Kwa uelewa wangu "Chechefu" walikuwa wanazungumzia matamasha yaliyofanyika tarehe 04/12/2021 siku ya Jumamosi iliyopita, moja lilifanyika Leaders Club na lingine Tanganyika Packers.

Kwa ambae alifanikiwa kuhudhuria tamasha moja wapo, tunaomba mrejesho kwa yaliyojiri siku hiyo.
 
Tamsha ka bure lilifanya poa sana na mi nilikuepo nilienda kuvizia simu za mchongo tamasha halikupoa
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom