Basilio Matei Mbuzi Wa Sadaka?

Watu kama hawa kwa Tanzania wako wachache..kuna viongoz wengne hutumia madaraka yao vibaya na baadae wanajuta na mifano mnayo
 
Wapo binaadamu wenye ujasiri huu ............ lakini KAMA HUTULETEI USHAHIDI WA MAANA HAPA KUHUSU HAYO (kwenye red) mi sitakutofautisha SAAANA NA MAKAMBA na CHILIGATI ..... maana nao HUROPOKA KAMA WEWE...

EVIDENCE PLEASE , maana unazungumza maneno yenye UZITO, so usije UKAWA WEWE ndo BASILO MTEI mwenyewe hapa unataka UJENGE HESHIMA.

EVIDENCE au TUTOLEE UPUUZI WAKO HAPA
Suppose the thread owner is Basilio what evidence would you like to get from him? With your narrow thinking capacity this is possible?
 
Hivi kupelekwa makao makuu ya polisi ni adhabu?? How? Au hamna dili? nielewesheni.

Ndugu yangu, Dar ina mikoa 3 ya kipolisi, na yote ina maRPC wake, kwahiyo kwa namna yoyote ile atakuwa mtu wa ofisini, na kwavile pale ni H/O, kuna wakubwa kivyeo zaidi yake sana.
Lkn pia kuwa RPC mkoani ni heshima na dhamana kubwa, especially kwa mkoa kama Arusha.
 
Suppose the tread owner is Basilio what evidence would you like to get from him? With your narrow thinking capacity this is possible?

If he is real the thread OWNER, and what he says is true.... that he DID it in favor of poor Arusha citizen.... WHY NOT GOIN' to the PRESS?????????????????????????????

and IF NOT (the owner) we need EVIDENCE instead of being treated like lillte kids AND comment on this CRAP LIKE GOSSIP THREAD...

I wont be like YOU taking , things like this TOO SHALLOW.... am sure your thinking capacity, is as lower as the THREAD owne IF and ONLY IF he hasnt comply with the above
 
Habar nilizozipata kwa Mdau mmoja ambaye ni Afande pande za kule ni kuwa,Arusha hali ilikuwa ni tete sana siku ile,jamaa ana kiri kuwa walishazidiwa maarifa na wananchi juu ya kufanya fitna zilizo Injiniwa na EL Batilda ashinde,watu walikuwa wanatembea na Ndoo za Petrol siku ile,jamaa anaendelea kusema kuwa EL alikuja na gari lenye Tinted na kama M Mia nane hiv za Kumhonga Godbless aachie jimbo,Wanachama wa CDM walistukia hilo na wakamwambia God kuwa akikubali huo ujinga ataikuta Familia yake yote Mochwari (chumba
Jamaa anendelea kuhabarisha kuwa cha kuhifadhia maiti).Yalitkea majibizano kati EL na mdau mmoja ambaye hakufahamika vyema,inasemekana jamaa alikuwa anamuita EL fisadi,inasadikika kuwa EL alitoa bastola na ku shoot jamaa mguun (Hii imezimwa juu kwa juu kwa mujibu wa muhabarishaji).
Afande Mathayo kuhamishwa huku inasemekana ni shinikizo la EL.
Hii ndo Tanzania wakuu...



acha upapasi . unadanganya watu live . aliyepiga risasi ni mtu mwingine kabisa . usikurupuke tu.
 
Hivi hapa ndani kuna watu wa namna yake sn kumbe...huh! wakikosa nguvu ya hoja wanabakia kudai evidence hata za mambo vivid kabisa!

Sasa mtu anajua kabisa struggle ya kusubiri matokeo Ars mjini ilivyokuwa, na anaelewa kuwa struggle hii HAIKUMWAGA DAMU HATA TONE MOJA, wakati kulikuwa na FANYA FUJO UONE kama 200 au zaidi, wote wakiwa kimya kungoja amri ya Basilio. Lakini badala yake anatoa amri kuwa KILICHO HAKI KITANGAZWE, halafu hatimaye unasikia mtu huyo2 kapelekwa dar, .Unataka evidence ya kitu gani
 
Wapo binaadamu wenye ujasiri huu ............ lakini KAMA HUTULETEI USHAHIDI WA MAANA HAPA KUHUSU HAYO (kwenye red) mi sitakutofautisha SAAANA NA MAKAMBA na CHILIGATI ..... maana nao HUROPOKA KAMA WEWE...

EVIDENCE PLEASE , maana unazungumza maneno yenye UZITO, so usije UKAWA WEWE ndo BASILO MTEI mwenyewe hapa unataka UJENGE HESHIMA.

EVIDENCE au TUTOLEE UPUUZI WAKO HAPA

Acheni ujinga, siyo kila kitu kina ushahidi wa mazingira, maandishi au picha, hii siyo mahakama. Huenda amri iliyotolewa ni ya mdomo (matamshi) tu. Labda ukamuulize Basilio mwenyewe!

Mimi namsifu afande kwa kuheshimu maadili ya kazi yake na kumheshimu Mungu pia, siijui dini/imani ya kamanda Basilio lakini inaonekana hawezi kuuwa binadamu asiye kuwa na kosa kwa utashi wa mtu mwingine. Aliyetoa amri ya kuua 5 kwa sababu ya kumuokoa mbunge wake kwa sababu wana toka dini moja, nadhani hapa kuna haja ya kuwa na mashaka na imani au dini zao kama msingi wake ni amani!

EL pamoja na ufisadi wake lakini imani/dini yake ali-iheshimu sana aka-amua kutumia njia mbadala, badala ya kuua watu live, aliona bora atumie mlungula, alikuwa tayari apoteze hata 800 millioni kwani atazitafuta zingine kifisadi fisadi.

Basilio wala asijali kwani kuna maisha hata akivuliwa unjagu, kwani siku hazigandi 2015 CDM watakurudisha kazini kwa record yako ya kuzingatia maadili ya kazi yako siyo utashi wa mtu.
 
Haya mambo ya evidence yanatucost sana wabongo. Kesi zote za mafisadi bado zinaendelea kupigwa kalenda kwa kivuli cha hiyo evidence, na jamaa wanatamba mitaani had kugombea ubunge na uspika, bado mazuzu tunasubiri evidence!..what a fuc¿king evidence!.
 
Anyway hizi tunazichukua kama hearsay lakini kwa Tanzania hii sasa hivi yote yawezekana? Lakini haki hatimaye itapatikana angalia yule jamaa walimtoa pale Hai ili Mbowe ashindwe lakini Mungu si athman bado haki ya mtu haikuliwa! Kama haya ni kweli UMAFIA wa SERIKALI YA CCM uko wazi tu
 
acha upapasi . unadanganya watu live . aliyepiga risasi ni mtu mwingine kabisa . usikurupuke tu.

Huenda ikawa si kweli kuwa E.L. alishoot. Lakini ni kweli kuwa alikuja pale Manispaa katika gari lake lenye tinted glass windows. Ni kweli pia kuwa Godbless Lema alikuwa anashinikizwa na chama cha mafisadi akubali eti hakushinda, ili Batilda atangazwe mshindi.

Wakereketwa wa CDM na supporters wa Godbless walikuwa ndani ya ukumbi na wengine walikuwa nje, wakiwasiliana kwa simu za mkononi. Jinsi ucheleweshaji wa kutangazwa kwa matokeo ulivyoendelea, excitement nje ilikuwa inaongezeka. Vijana kadhaa wa CDM walikuwa wanaruka ruka nje wakisema Fisadi Lowasa, mpenzi wa Batilda ameingia, wakiapa kwamba hawatakubali kunyang'anywa ushindi.

E.L. alipoingia inasemekana ali-ofa TZS 600milioni kwa Godbless ili akubali eti Batilda ameshinda. Kule nje walipoarifiwa kwa simu, kelele zilizidi na Godbless Lema alisema hawezi kukubali kwamba ameshindwa. Inasemekana E.L. aliongeza ofa mpaka TZS 900 milioni. Vijana nje walipoambiwa ofa imefikia 900m/= ndio wakatishia Godbless kwamba watachoma Manispaa (na inasemekana tayari walikuwepo wenye vidomu vya petroli) na kwamba akirudi nyumbani atakuta familia yake mortuary. Kelele zilikuwa nyingi na the situation was very tense. Ilikuwa karibu giza liingie na nahisi ndipo Basilio Matei, the hero of this saga, alipomwambia Msimamizi wa Uchaguzi ni lazima atangaze matokeo kuondoa uwezekano wa vurugu tukiwa gizani. Kwa kweli hangeweza kuwa na askari wa kutosha kutuliza ule umati.

Kuna MwanaJF hapo juu ame-mispell jina la huyu shujaa "Basilo Mtei". Ni Basilio Matei na hata kama ataadhibiwa na mabosi wake, yeye ni hero wa Uchaguzi Mkuu wa 2010. Hana uhusiano wowote na Mzee Mtei (Edwin).
 
Tujiulize marehemu AMRAN KOMBE aliyekua mkurugenzi wa usalama wa taifa aliuliwaje?eti walifikiri ni mwizi wa magari!ndio utaamini kuwa amri za kuua zipo tanzania
 
wakuu kwanza mi nianze kumponge kamanda B.Matei huyu jamaa ni shujaa achilia mbali yote kuhandle tu lile timbwiri bila kumwaga damu hapo nampa credit.
Kuhusu wanajamvi wanaoulizia ushahidi mbona upo wazi si kesha pata demotion ww unafikiri kosa lake nilipi kama si ishu hii!
 
Mnawafahamu wana Apolo au ulishawahi kuwasikia???

Kama hamjawahi kuwasikia basi msicheze na Wana Apolo.

Kamwe usimchokoze mtu ambaye amewahi kuzama katika machimbo ya TAnzanite. Wanajua kutumia aina yoyote ya bunduki, mabomu na wanajua mahali pa kuyapata.

Arusha kuna maduka ya kuuza mabomu au tuseme baruti za kulipua migodi ili madini yatoke.

Basi kwa maana hiyo, nilisikia kuwa Arusha ingegeuka Afghanistani maana baruti zingefanya kazi kuangamiza manispaa, ofisi ya mkuu wa mkoa, mabenki, AICC, na maofisi yote pale.

BASILIO MATEO ni shujaa na Tumshukuru Mungu
 
kwa hali ya Arusha ilivyokuwa hata jeshi la polisi lisingethubutu kutia mguu pale wa kubadilisha matokeo.Kwa RPC yoyote hali ilikuwa ngumu kwa kila mtu kuona hali halisi. Ndhani ni uhamisho wa kawaida
 
Inawezekana kabisa, mana huyu mkurugenzi pia ni mpya aliyekuwepo Raphael Mbunda alihamishwa mapema sababu alikuwa hatoi support kwa Batilda. Wakamhamisha kwenda Kigoma tena afisa utumishe siyo mkurugenzi. Hivyo Basilio Matei anaweza shushwa mpaka askari wa barabarani
 
aliyeshoot mtu si Lowasa bali ni tycoon mmoja jijini arusha,hii ilitokea baada ya gari lake kuhisiwa vibaya na wakereketwa wenye hasira na kuanza kushambuliwa.

Mkuu JB,hiyo ya EL jamaa ansema ni kweli,huyo muhabarishaji ni afande mkuu,ila hiyo jins ilivyozimwa hata jamaa mwenyewe haaamin macho yake,inawezekana pia hiyo issue ya huyo Tycoon as well,but ya EL pia jamaa wanahabarisha ilitokea though jamaa kama alikuwa anauoga flan hv kutumwagia hiyo issue...
Tujihadhar sana na waha viongozi wetu,ukiingia kwenye 18 zao hawakuachi asilan
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom