Basilio Matei Mbuzi Wa Sadaka?

Mungu atamlipia tu, hao mafisadi si unaona hata uhuru hawana, tukikutana nao viwanja vya starehe huwa wamejificha kama status yao ya kijambazi ilivyo
 
Basi kama ni hivyo kwamba pale ambapo upnzani umepita Ma-RPC wanapelekwa makao makuu, hata Silo Nyakolo asubiri hilo. Maana kule ndiko alikoruhusu hata aliyekuwa mkuu wake wa kazi (Masha) akabwagwa. Nako inasemekana alizuia vijana wake kumpiga mtu yeyote.
 
Bangusilo Matei.

Kwa habari za uhakika zinasema alipewa amri na mkuu wake aue walau watu 5 wakati wanachi walipokuwa wamekusanyika njee ya jengo la halmashauri ni jiji. Akakubali amri lakini hakuitekeleza kwa kusema yeye ni mcha mungu na Arusha itaendelea kuwepo hata baada ya uchaguzi.

Alichokifanya mkuu huyu ni kumshinikiza mkuu wa Tume (mkurugenzi wa uchaguzi Jimbo laArusha)kutangaza matokeo kabla ya saa 12 jioni la sivyo ataondoa vijana wake kwenye eneo hilo kwa watu ni wengi na hawana uwezo wa kulinda usalama kwa jiji la Arusha itakapotimu usiku.

Nasikia kwa kosa la kukataa AMRI (isiyo halali) kapelekwa benchi makau makuu kwa kosa la utovu wa nidhamu

Kama kweli. Ee Mungu isaidie nchi hii.
 
Wanajamii....

CCM wameangalia mmoja tu wa shilingi, siasa... Huyo jamaa aliweza kusaidia kupungzua ujambazi

anaondolewa kisiasa wakati huu "wamachamee" wapo kazini...

tusubiri maafa na hayo nayo yatazidi kuishusha hadhi ya serikali arusha

Utawala shoudl know kwamba arusha is way beyond constituent, arusha is our face in the international eyes, arusha is the hub for tourism industry and arusha bears more than just a host to international offices... ALL THOSE CARE LESS ABOUT WHICH POLITICAL AFFILIATION RUNS THE SHOW
 
Akistaafu atunge kitabu akiite upolisi wangu na uchaguzi mkuu...atauza sana!!

Naunga mkono hoja, hila aongezee {upolisi wangu na uchaguzi mkuu, 2010} haya maneno cc wa huku Ar. tuliyasikia hata kabla hajaamishwa, ilisemekana kweli basilio alikahidi kutekeleza amri ya mkuu wa nchi, na tetesi zilizidi kwenda mbali kwa kusema mkulu akiapishwa tu jamaa hatakuwa na kazi ya U-RPC na ndilo lililotokea, kwa maana hiyo inawezekana kuwa ni kweli big up basilio u are a great man and be blessed sana tu.
 
Jambo wakuu.
Jana nilibahatika kupitia ofisi fulani, nikakutana na maafande wa polisi, RPC wa Arusha Basilio Matei. Katika maongezi akamtambulisha afande Thomas Andengenye( RPC MORO), akasema ndiye anayechukua nafasi yake, ambapo yeye Basilio anahamishiwa makao makuu dar! Lakini leo katika maongezi na watu nimeambiwa Afande Matei ameondolewa Ars kutokana na kuruhusu ushindi wa mbunge mpinzani Arusha mjini, wakati alikuwa na uwezo wa kutumia nguvu za dola kupindua. Hii mnaichukuliaje wakuu? Inawezekana?
Habar nilizozipata kwa Mdau mmoja ambaye ni Afande pande za kule ni kuwa,Arusha hali ilikuwa ni tete sana siku ile,jamaa ana kiri kuwa walishazidiwa maarifa na wananchi juu ya kufanya fitna zilizo Injiniwa na EL Batilda ashinde,watu walikuwa wanatembea na Ndoo za Petrol siku ile,jamaa anaendelea kusema kuwa EL alikuja na gari lenye Tinted na kama M Mia nane hiv za Kumhonga Godbless aachie jimbo,Wanachama wa CDM walistukia hilo na wakamwambia God kuwa akikubali huo ujinga ataikuta Familia yake yote Mochwari (chumba cha kuhifadhia maiti).
Jamaa anendelea kuhabarisha kuwa Yalitkea majibizano kati EL na mdau mmoja ambaye hakufahamika vyema,inasemekana jamaa alikuwa anamuita EL fisadi,inasadikika kuwa EL alitoa bastola na ku shoot jamaa mguun (Hii imezimwa juu kwa juu kwa mujibu wa muhabarishaji).
Afande Mathayo kuhamishwa huku inasemekana ni shinikizo la EL.
Hii ndo Tanzania wakuu...
 
"Kwa habari za uhakika zinasema alipewa amri na mkuu wake aue walau watu 5 wakati wanachi walipokuwa wamekusanyika njee ya jengo la halmashauri ni jiji. Akakubali amri lakini hakuitekeleza kwa kusema yeye ni mcha mungu na Arusha itaendelea kuwepo hata baada ya uchaguzi."

HII INA MAANA YA KUWA MWAKA WA 2015 MAMBO YA TZ YATAKUWA KAMA YA KENYA MWAKA 2007, AMA YA IVORY COAST YA WIKI HII. HAPO NDIPO "UHURU" MPYA UTAKAPOPATIKANA. KWA BAHATI MBAYA BILA WATU KUFA HAKUNA
UHURU WALA MAENDELEO. TAZAMA HISTORIA YA NCHI NYINGI: AMERIKA, CHINA, UGERUMANI, JAPAN, UFARANSA NK
 
yAANI KILA NIKISOMA HII THREAD NAPATA KIZUNGUZUNGU... HIVI KWELI ORDER YA KUPIGA RISASI IANWEZA KUTOLEWA KIRAHISI EH?
 
Bangusilo Matei.

Kwa habari za uhakika zinasema alipewa amri na mkuu wake aue walau watu 5 wakati wanachi walipokuwa wamekusanyika njee ya jengo la halmashauri ni jiji. Akakubali amri lakini hakuitekeleza kwa kusema yeye ni mcha mungu na Arusha itaendelea kuwepo hata baada ya uchaguzi.

Alichokifanya mkuu huyu ni kumshinikiza mkuu wa Tume (mkurugenzi wa uchaguzi Jimbo laArusha)kutangaza matokeo kabla ya saa 12 jioni la sivyo ataondoa vijana wake kwenye eneo hilo kwa watu ni wengi na hawana uwezo wa kulinda usalama kwa jiji la Arusha itakapotimu usiku.

Nasikia kwa kosa la kukataa AMRI (isiyo halali) kapelekwa benchi makau makuu kwa kosa la utovu wa nidhamu

Wapo binaadamu wenye ujasiri huu ............ lakini KAMA HUTULETEI USHAHIDI WA MAANA HAPA KUHUSU HAYO (kwenye red) mi sitakutofautisha SAAANA NA MAKAMBA na CHILIGATI ..... maana nao HUROPOKA KAMA WEWE...

EVIDENCE PLEASE , maana unazungumza maneno yenye UZITO, so usije UKAWA WEWE ndo BASILO MTEI mwenyewe hapa unataka UJENGE HESHIMA.

EVIDENCE au TUTOLEE UPUUZI WAKO HAPA
 
yAANI KILA NIKISOMA HII THREAD NAPATA KIZUNGUZUNGU... HIVI KWELI ORDER YA KUPIGA RISASI IANWEZA KUTOLEWA KIRAHISI EH?

Ndio maana nimeomba EVIDENCE ya thread yote..... AU ATUTOLEE UPUUZI HAPA
 
Kwa serikali ya CCM yote yanawezekana, ni kukomoana tuu hamna lingine.

Sasa Batilda alitaka kununua ushindi?? na udokta wote anachakachua?? Kwa kweli hata kale kaheshima kamepotea.
 
Hivi kupelekwa makao makuu ya polisi ni adhabu?? How? Au hamna dili? nielewesheni.
 
Habar nilizozipata kwa Mdau mmoja ambaye ni Afande pande za kule ni kuwa,Arusha hali ilikuwa ni tete sana siku ile,jamaa ana kiri kuwa walishazidiwa maarifa na wananchi juu ya kufanya fitna zilizo Injiniwa na EL Batilda ashinde,watu walikuwa wanatembea na Ndoo za Petrol siku ile,jamaa anaendelea kusema kuwa EL alikuja na gari lenye Tinted na kama M Mia nane hiv za Kumhonga Godbless aachie jimbo,Wanachama wa CDM walistukia hilo na wakamwambia God kuwa akikubali huo ujinga ataikuta Familia yake yote Mochwari (chumba cha kuhifadhia maiti).
Jamaa anendelea kuhabarisha kuwa Yalitkea majibizano kati EL na mdau mmoja ambaye hakufahamika vyema,inasemekana jamaa alikuwa anamuita EL fisadi,inasadikika kuwa EL alitoa bastola na ku shoot jamaa mguun (Hii imezimwa juu kwa juu kwa mujibu wa muhabarishaji).
Afande Mathayo kuhamishwa huku inasemekana ni shinikizo la EL.
Hii ndo Tanzania wakuu...
Tanzania Yetu ndiyo Nchi ya kupendeza, Kote ulimwenguni watu wote watambua, Tanzania yetu ndiyo nchi ya Furahaaaaaaaaa. Shhittttt. Hivi huyo Lowassa anadhani yeye ni Mungu Ama? Huyo mtu wa watu si ajabu ni marehemu sasa. Hataki kuitwa jina/cheo chake? FISADI MKUU nimeongeza
 
Nimeisoma habari hii kwa masikitiko makubwa sana, sihitaji kujua kama ni kweli au ni uongo but i know that it is possible! tunayomengi kuhusu uchafu wa CCM yaani waishie tu kuvaa suti lakini si watu na laiti siku watanzania watakapowaona walivyo, watalia kama mimi!!!
 
Habar nilizozipata kwa Mdau mmoja ambaye ni Afande pande za kule ni kuwa,Arusha hali ilikuwa ni tete sana siku ile,jamaa ana kiri kuwa walishazidiwa maarifa na wananchi juu ya kufanya fitna zilizo Injiniwa na EL Batilda ashinde,watu walikuwa wanatembea na Ndoo za Petrol siku ile,jamaa anaendelea kusema kuwa EL alikuja na gari lenye Tinted na kama M Mia nane hiv za Kumhonga Godbless aachie jimbo,Wanachama wa CDM walistukia hilo na wakamwambia God kuwa akikubali huo ujinga ataikuta Familia yake yote Mochwari (chumba cha kuhifadhia maiti).
Jamaa anendelea kuhabarisha kuwa Yalitkea majibizano kati EL na mdau mmoja ambaye hakufahamika vyema,inasemekana jamaa alikuwa anamuita EL fisadi,inasadikika kuwa EL alitoa bastola na ku shoot jamaa mguun (Hii imezimwa juu kwa juu kwa mujibu wa muhabarishaji).
Afande Mathayo kuhamishwa huku inasemekana ni shinikizo la EL.
Hii ndo Tanzania wakuu...

aliyeshoot mtu si Lowasa bali ni tycoon mmoja jijini arusha,hii ilitokea baada ya gari lake kuhisiwa vibaya na wakereketwa wenye hasira na kuanza kushambuliwa.
 
Ndio maana nimeomba EVIDENCE ya thread yote..... AU ATUTOLEE UPUUZI HAPA

mtafute mpemba akupe DVDs za mambo yaliyotokea kule pemba kwenye chaguzi za nyuma haswa 2005,hapo utaweza kuiamini au simply kuiona habari hii ni upuuz.TAFUTA UKWELI UNAPOPEWA TAARIFA.
 
Mkuu huyu mkubwa alipata shinikizo kubwa sana hata kabla ya uchaguzi
lakini aliapa kufanya kazi proffessionally na alikua tayari kutimiza tu yale
maadili yake ya kazi yanamhitaji kufanya.

Aliongea kitu kimoja ndicho kilichowakera: Kwa nini Mramba yupo mahakami? Kwa nini Zombe alifikishwa mahakami?
na akawapa jibu: Kutumia vibaya madaraka waliopewa na hivyo yeye atatumia madaraka yake kama utaraibu unavyomwelekeza.

hayo ndio yaliyojiri
Anastahili kupewe digrii ya heshima ya udakitari na vyuo vyetu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom